Du wanatafuta watu wa kuwatoa kafara hapandi mtu.
Mleta thread kwa nini unaandika "kimenuka"? Hujafurahia bei nafuu zinazoahidiwa?
Ngoja tusubiri na tuone, haina haja kuandikia mate wakati soon itakuwa wazi!
Sasa mleta maada unaposema kimenuka unamaanisha nini?
Aaaagh!sasa hapo kimenukaje?sema kimenukia bwanaaa!
I can't dream to fly at such a mind-bending price. Is it real in the first place? Hii ingefaa kuja April 1 siku ya wajanja.
Ni kama Ryanair tu! Kama ulaya kama ulaya................! Nakumaba enzi hizo tulikuwa tunaruka Paris....Madrid....Manchester.......Kama tunapanda Ubungo Mbagala
Du wanatafuta watu wa kuwatoa kafara hapandi mtu.
kwahiyo lakithemanini
naenda kwa mama msoffe,ple moshi nakula lunch kesha ,jion najirudia hapa kwa wahaya ofisini ,lol ngoja ni-book sasa lakini nina chipolopolo(mulhat)wangu ana miez 7 atapata lift kweli ama nahitaji kumlipea aghrr
Kaka tuache ubishi piga simu ofisi za 540 utaambiwa nauli ndio hiyo 88 TAX inclusive.
Acha masikhara Return dsm<->kia ni 88k?
Low cost African airline FastJet has confirmed it will have its first airbase in Tanzania.
The airline will commence flying in November with seats going on sale online a few weeks earlier. Fares will be available from $20 one-way excluding taxes and charges.
The lease for FastJets first Airbus A319 aircraft has been signed with lessor BBAM and will arrive in Dar es Salaam next month. Recruitment for crew and ground staff is already well advanced, according to a statement released by the company.
FastJet Chief Executive Ed Winter said: Our initial focus will be on East Africa with the airlines first base at Dar es Salaam, Tanzania, where the A319 aircraft has already been approved by the Tanzania Civil Aviation Authority.
This will be followed by a second base in Nairobi, Kenya, once the A319 is approved there. We look forward to bringing a great, reliable and affordable service to the people of East Africa.
Once established in East Africa, Fast Jet revealed it plans to launch in Accra, Ghana and Luanda Angola
Source: FastJet confirms first airbase in Tanzania
Mtanzania tu ndio unaweza ukam fool kwamba utamsafirisha kwa ndege Dar-KIA kwa shilingi elfu thelathini wakati hata piki piki - achilia mbali nauli ya basi - ukikodi pikipiki ikupeleke Moshi hawezi kukubali kwa elfu thelathini.Fares will be available from $20 one-way excluding taxes and charges.