Usafiri wa basi na kero ya kelele za muziki

Usafiri wa basi na kero ya kelele za muziki

Music juu hasa jioni,mtu kuchoka na mizunguko, stress za maisha na smtmz video za nusu uchi wale wadada wa uswazi wanaobenua matako juu wakiyachanganua!
Astalahaleee!!
 
Mkuu kwa upande wa movie hapo kidogo unataka kupotoka ile ni comedy ya kibongo ifike mahali tupende vya kwetu bongo movie mmediss sasa hata comedy mkuu?
Siyo kila mtu anataka hizo Comedy. Waweke Headphones anayetaka asikilize yeye binafsi.
 
Afu wanaweka nyimbo za kwaya au kaswida kwa muda mrefuu..mtu kama hupend nyimbo za dini je? Hvi muslam usikilizishwe kwaya wee au christian upigiwe kaswidaa wee kwa masaa hai make sense..wanazengua!
 
Ni ukweli usiopingika. Tafadhali Mamlaka inayohusika ifuatilie kero hii. 'Noise pollution' inayosababishwa na sauti iliyopitiliza kiwango ndani ya baadhi ya mabasi yetu inakera na kuathiri 'comfortability' na afya za abiria.

Sababu mojawapo ya kufunguliwa sauti kubwa ndani ya mabasi haya ni kuhakikisha 'speed limit alarm' haisikiki wakati imefikiwa, hivyo kukuta dereva anaendesha mwendo wa kasi uliopitiliza kiwango kilichotegeshwa i.e. 80Km/hr
Haviingiliani
 
Kuna Basi la IMANI Dar - Mbeya , sikutegemea kuwa na nyie mnaweka sauti kuuubwa hivyo, basi lenu la kiistaarabu,
rekebisheni sauti, yaani kadiria kwamba mtu anasikia kitu kinachoendelea ila hakereki. yaani hata akitaka kuongea na simu isiwe shida, sasa unakuta unaongea na simu mpaka mtu anakuuliza '' uko wapi hapo ? "
Unazungumza na sheikh unajiuliza jee yuko baa
 
Mimi nadhani ifikie wakati kila abiria ajiamulie yeye mwenyewe cha kusikiliza. Yaani hayo ma tv na maredio yao wayatoe kabisa kwenye hayo mabasi.

Halafu wakati huo huo asitokee mpuuzi wa kuwasha simu yake ya mchina na kusikiliza manyimbo yake kwa sauti ya juu. Na badala yake kila abira atumie earphone zake kusikikiza/kuangalia kile akipendacho.
 
Music juu hasa jioni,mtu kuchoka na mizunguko, stress za maisha na smtmz video za nusu uchi wale wadada wa uswazi wanaobenua matako juu wakiyachanganua!
Astalahaleee!!
kharaam. Hata hawamuogopi Mungu anayeona machafu hayo.Ikitokea ajali watasema nini ?
 
Kuna ile michezo ya kirusi ya stering Goika. Wanauwana na kuvuja damu mpaka mwenye maradhi ya moyo anahisi kufa kufa
 
Hakika, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Kuna wale wanaoweka bongo movie,safari nzima unalazimishwa kuangalia ujinga wa mkojani[emoji706][emoji706]
 
kharaam. Hata hawamuogopi Mungu anayeona machafu hayo.Ikitokea ajali watasema nini ?
Smtmz uko na watu wa heshima "wazazi,wakwe,wakuu wa kazi" video kanga moko iliyopigwa maji wala wala, wadada wako bize wameinama wengine wamechana misamba
AIBU
 
Kwenye basi kila mtu ana hobi yake, Kuna wanaotaka mziki tena sauti kubwa na wengine hawataki kabisa. Labda kuwe na demokrasia, wanaopenda mziki wakiwa wengi wapewe haki yao, wakiwa wachache mziki uzimwe kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatujafika huko bado, watz wengi si wastaarabu hata kwenye maisha ya kawaida tu, hizo headphones zitaibiwa zote na kuharibiwa...Kama hutaki kelele ongea na konda umueleze unavyojisikia kwa sababu na naamini asilimia kubwa ya abiria wanapenda vyote vinavyooneshwa kwenye basi hasa michezo, utakuta Basi zima linacheka.
 
Kwa teknoljia ya sasa na mifumo ya kutunza data iliyopo , huwezi kuiba headphones kwenye Bus usipatikane. Tiketi za siku hizi ni Electronic. Huwezi kijificha.
 
Back
Top Bottom