Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kulitafutia ufumbuzi hili ni changamoto kwasababu ya haiba ya abiria.
Kuna wengine hicho kitu wanapenda na wachache wetu hatupendi. Hizo movie za kina mkojani zinapendwa na wengi wanaotumia huo usafiri.
Mtaani hayo mamovie yalitafsiliwa ndo yamejaa na wateja ndo hao hao abiria sasa.
Wakiyazima kuna viumbe huwa wanaingia na redio au masim ya mchina yale. Kama hiyo siku kuna mechi kubwa baai viumbe hupanda na redio ama sim za kichina zenye bonge la sauti kuskiliza mpira mubasahara, na usiombe wawepo wawili ama watatu waliosupport kuaikiliza pamoja nae basi basi zima mtasikiliza mpira ni kubadili stations kila mtapoacha mkoa.