Usafiri wa basi na kero ya kelele za muziki

Kulitafutia ufumbuzi hili ni changamoto kwasababu ya haiba ya abiria.

Kuna wengine hicho kitu wanapenda na wachache wetu hatupendi. Hizo movie za kina mkojani zinapendwa na wengi wanaotumia huo usafiri.

Mtaani hayo mamovie yalitafsiliwa ndo yamejaa na wateja ndo hao hao abiria sasa.

Wakiyazima kuna viumbe huwa wanaingia na redio au masim ya mchina yale. Kama hiyo siku kuna mechi kubwa baai viumbe hupanda na redio ama sim za kichina zenye bonge la sauti kuskiliza mpira mubasahara, na usiombe wawepo wawili ama watatu waliosupport kuaikiliza pamoja nae basi basi zima mtasikiliza mpira ni kubadili stations kila mtapoacha mkoa.
 
Kama watanzania tanashindwa kutatua changamoto nyepesi kama hii, hivi sisi tunaweza nini sasa!

Hata hili mnataka mzungu aje atusadie?
 
Kwa teknoljia ya sasa na mifumo ya kutunza data iliyopo , huwezi kuiba headphones kwenye Bus usipatikane. Tiketi za siku hizi ni Electronic. Huwezi kijificha.
Bado hatujafika huko, Yani bado kabisa si unaona basi zetu nyingi zilivyo mbovu halafu ndo comfortable hizo tunaziita...basi tulizonazo zinaakisi uwezo wa kiuchumi watu walionao, hakuna tajiri aliyetayari kununua basi zenye headphones sijui vikolombwezo kibaovya kisasa kwa Sasa hv wakati anajua kabisa atapata hasara, labda kumi kwa mmojabasi nyingi zlzopo tunazijua.
 
Hoja yako ina mashiko.
 
Pia na benki tv zake sauti ziko chini mno Mana hela ama mafanikio hayataki makelele zitapeperuka
 
Halafu pia kuna haka katabia kakibazazi kakuweka miziki ya wasanii waliovaa nusu uchi inakera sana.

Hebu fikiria umepanda bus na familia yako au wazazi wako then kwenye screen kuna mamiss bantu yanakata viuono nusu uchi lahaula!!! Sura yako unaiweka wapi ukizingatia na hao wazazi wako wanaona pia.

Acheni hizi tabia mnatuharibia watoto wetu na kuwatweza wazazi wetu.
 
Wapo watu wanaopenda utulivu na ukimya ili watafakari mambo yao wakiwa safarini
Bogus kweli unatafakari nini kwenye bus sasa? 😝😝 tafakari kwako ni mwendo wa mangoma tu otherwise upande bus za Tabora zilizojaa wabibi ukafaulishwe huko
 
Kumbe nusu uchi nilidhani uchi kabisa shida iko wapi sasa?
Hayo maadili unayojaribu kuyajenga yamelifikisha wapi Taifa lako masikini kapuku kabisa la kifwala 😝😝
 
Bogus kweli unatafakari nini kwenye bus sasa? [emoji13][emoji13] tafakari kwako ni mwendo wa mangoma tu otherwise upande bus za Tabora zilizojaa wabibi ukafaulishwe huko
Ndugu siyo lazima kila mtu anapaswa kujua kuwa huna akili. Kwani ikiwa siri yako kuna tatizo gani?
 
Panda mabasi mabovu mabovu utakuja kunishukuru. Kila kitu kibovu isipokuwa injini tu, yaani tv mbovu, radio mbovu, port za kuchajia mbovu nk. Wao wanakuwa wanazingatia kitu kimoja tu, kukutoa sehemu moja kwenda nyingine basi.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndugu siyo lazima kila mtu anapaswa kujua kuwa huna akili. Kwani ikiwa siri yako kuna tatizo gani?
Masikini wewe katafakari kwako. Vigezo vya bus kuwa semi luxury unavijua?

lina safari ndefu kuliko hiyo ya Dar - mza na ni full mamuvi na mangoma hutaki kelele nunua lako shubahamit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…