Mmewaleaje vibaya?
Kutowaonyesha kuwa wao ni strong gender na wanatakiwa ku protect wanawake
Mmewaleaje vibaya?
Sasa basi Mimi huwa nna wahasa wanaume Kama kuna zama wanatakiwa wawe wabinafsi kwa wanawake, Basi ni zama hizi za haki sawa.Kwa mwanaume anajitambua bado mpk leo anajua wanawake ni weak gender na hizo kelele za 50:50 wala hazimsumbui hutakuta akijibidhana wala kugombania seat na wanawake
You want men to uphold the usual traditional musculine features for women's interest, are you already to uphold traditional woman's features for men's interest?Kutowaonyesha kuwa wao ni strong gender na wanatakiwa ku protect wanawake