Kuna nchi niliishi mwanamke haruhusiwi kusimama wakti wanaume wamekaa na wala huwezi kukutana wanaume wanagombania usafiri na wanawake ni lazima wanawake wapishwe kwanza so hiyo ni kazi ya uanaume kuwa ngangari kusimama ili kulinda mama dada na mabinti zenu. Fundisha hivyo watoto wako wa kiume wanawake hawatakiwi kuteseka wakti wanaume wapo.
Inafurahisha Sana nyie wanawake wa kileo mnataka kuendelea ku-enjoy "
weaker gender privilege " wakati huo huo na nyie mnajiona mko strong sawa na wanaume.
Why want to eat your cake and have it at the same time?
Hiki unachokisema hapo kwenye red kilikuwa ni kitu sahihi kufanywa miaka 90s kurudi nyuma huko, lakini sio Leo kwa nyie wanawake mnaominishwa kwamba eti tofauti yako wewe na mwanaume ni jinsia tu vingine vyote mko sawa, yaani chochote anachoweza kufanya mwanaume hata wewe unaweza kukifanya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie wanawake wa kileo Kwanza hampendi kabisa kuonekana kuwa nyie ni binadamu wa jinsia dhaifu, hili kudhibitisha hili wengi wenu hamna haiba ya kike na pia mmekuwa mkijitutumua kufanya mambo ambayo traditionally ni ya kiume na yale ambayo ni ya kike mmekuwa mkiyapuuza na mkiona kama ya aina fulani ya ujima.
Wengi wenu siku hizi mnasema mnaweza kuishi comfortably kabisa bila kumuhusisha mwanaume kwa chochote kile, kwani mko strong and independent.
Na pia mmeenda mbali na kusema kwamba wanaume wa siku hizi tumekuwa dhaifu Sana hatuwezi kuwaongoza na umuhimu wetu umebaki kwenye uzaliano tu.
Sasa Kama tayari nyie mnajiona mko sawa na sisi au pengine ni zaidi ya hata ya sisi, kwanini bado mnatupa umuhimu kwenye suala la kuwalinda?
You people have already snatched away our
strong gender privilege why should we let you to enjoy your
weaker gender privilege ???