Usafiri wa daladala ni kipimo cha kiwango cha roho mbaya cha wakinamama na wadada

Usafiri wa daladala ni kipimo cha kiwango cha roho mbaya cha wakinamama na wadada

Umeona eeeh hafu Dar kuna watu wana matumbo ka wajawazito kumbe ni ktambi cha bia na kitimoto, in short MTU akiwa kakaa ana matatizo yake
Haaa haaa vitambi vya wanawake balaa utazani mjamzito kumbe bia na kitimoto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo siku hiyo kulikuwa na wajawazito wengi kwenye hilo basi, wanaume wote mkawapisha mpaka sit zikaisha ikabidi na wanawake wafanye hivyo!?
Ogopa sana mwanaume mlalamishi!
Uwe unaelewa mapema mambo mepesi mkuu,
Jiografia ya gari lililojaa hadi kusimamisha watu, utafahamu hapo anapoingilia mjamzito au mtu anayehitaji msaada wale wa karibu na aliposimama ndio hutegemewa kumpisha.
Kauli kama zako zinadhihirisha kuwa na wewe ni team roho mbaya.
 
uwe unaelewa mapema mambo mepesi mkuu,
Jiografia ya gari lililojaa hadi kusimamisha watu, utafahamu hapo anapoingilia mjamzito au mtu anayehitaji msaada wale wa karibu na aliposimama ndio hutegemewa kumpisha.
kauli kama zako zinadhihirisha kuwa na wewe ni team roho mbaya.
Ndio uwataarifu wajawazito kuwa kuna team roho mbaya, wajipange mapema
 
Ni zoezi tu..... nimesimama sana Mwanza na tumbo langu. Kwanza wanaopishwa hata kushukuru hawawezi utafikiri ni haki yao..... unaona gari imejaa subiri yenye nafasi. Utafanya zoezi na mimba yako kwa mwenye mtoto unapokewa tu mtoto kiroho safi, akikulilia utasimama nae. Roho mbaya tumefundishwa kwenye magari humo humo
 
Niliwahi kukaa Perú miaka kadhaa nikafurahia ubinadamu wao. Katika daladala zao siti mbili ama nne za mbele zina rangi nyekundu na zimeandikwa ni kwa ajili ya wazee, wagonjwa na wenye watoto wadogo. Na kama zimejaa basi utaona kijana ananyanyuka kupisha wenye mahitaji maalum.

Pili, unapoingia kwenye daladala unalipa kwa dereva na anakupa ticket hapo hapo. Niliwaza sana hili linawezekanaje katika nchi inayoendelea kama yetu? Nilidhani ni Ulaya tu ustaarabu wa public transport unafuatwa kumbe kuna kama sisi wameshaweza.
 
Tungekuwa wastaarabu tusingepiga wanawake viwiko wakati wa kupanda daladala.

Hakuna akili tumenyimwa kama kitendo cha kuingia kwenye magari kama watu wasiostaarabika.
 
Tungekuwa wastaarabu tusingepiga wanawake viwiko wakati wa kupanda daladala.

Hakuna akili tumenyimwa kama kitendo cha kuingia kwenye magari kama watu wasiostaarabika.
Tena wanaume walivyo na nguvu unaweza jikuta umeanguka huko, huwa najiuliza hivi hawa wanaume hawajisikii vibaya kupigania gari na mwanamke?
 
Mwanamke mwenzako mjamzito anastahili huruma mpishe siti, upate thawabu.
Mwanamke mwenzako anamtoto mchanga, mpishe siti akae, upate thawabu
Ikitokea umekanyagwa bahati mbaya na mwanamke mwenzako usitukane na kuwa mtata, kuwa muelewa
daladala sio Hammer au V8.

Wanaume wenzagu katika hili, Mungu anatuona jinsi tulivyo na roho nzuri.
Leo nimeshuhudia wanawake wanne waliokaribu na mwenzao ambaye anamtoto mchanga wakiwa wamevuta midomo na kukunja ndita kuonyesha hawatampisha mwenzao. Hii ilipelekea mwanaume aliyekaa mbali kabisa ampeshe mwanamke huyo.

wanawake mjirekebishe aisee. maroho mabaya sio dili.
Yapendeza wanaume walio ndani ya daladala wakiona WANAWAKE wamepanda basi WANAUME WOOOOTE WASIMAME WAWAIPISHE SIT KUONYESHA ROHO NZURI ZAO KWA WANAWAKE!!!!!!
 
Na wale wanaume wanaogombea gari na kuwapiga viwiko wanawake wenyewe ndiyo wanaroho nzuri?
Viwiko tunapigana wote tu, havina Jinsia. Ila kupishana siti ni kweli wanaume ndio wanaowapisha wadada. Pengine wadada wengine hawana watoto hivyo wanawaonea wivu wajawazito.
 
Tena wanaume walivyo na nguvu unaweza jikuta umeanguka huko, huwa najiuliza hivi hawa wanaume hawajisikii vibaya kupigania gari na mwanamke?
Halafu wanataka muwe wastaarabu, wakati wao kupigania kuingia ndani na wanawake kama wezi hawaoni ni kukosa ustaarabu.
 
Kuna siku mama mtu mzima sana aliingia kwenye daladala nikasimama akae, lakini cha ajabu kuna demu likarukia siti na kung'ang'ania nikamchana we manzi hii siti nimempisha huyu mzee akae hebu toka.
Demu yule alivuta domo likawa refu kama bilinganya na yale marangi rangi wanayojipakaa kwenye midomo ndio basi tena.
Nikataka nimkate walau kofi yule mzee akanisihi mwanangu acha, ngoja ni fanye mazoezi kidogo.
Nilikubali kishingo upande Ila I felt really bad about it.

Kuna Wanawake ni malofa sana.
Wengi wao!
 
Mimi kwenye daladala sipishi mtu aisee na wala haihusiani na roho nzuri yangu au mbaya kipindi naenda field nilikuwa nazunguka na gari na kulipa Mara mbili ili nipate seat, na foleni ilikuwa kubwa kabla ya mwendo kasi, halafu then mtu unaanzisha Uzi wa kiujinga kulaumu watu humu. Dar usafiri ni kero na mishe plus joto hufanya watu wachoke. Mimi mwenyewe nikipanda daladala iliyojaa sitegemei huruma za watu eti vile na mimba wanihurumie wanipishe maana mimba yangu ni starehe yangu why niwatese wengine
 
Mimi kwenye daladala sipishi mtu aisee, na Wala haihusiani na roho nzuri yangu au mbaya kipindi naenda field nilikuwa nazunguka na gari na kulipa Mara mbili ili nipate seat, na foleni ilikuwa kubwa kabla ya mwendo kasi, halafu then mtu unaanzisha Uzi wa kiujinga kulaumu watu humu. Dar usafiri ni kero na mishe plus joto hufanya watu wachoke. Mimi mwenyewe nikipanda daladala iliyojaa sitegemei huruma za watu eti vile na mimba wanihurumie wanipishe maana mimba yangu ni starehe yangu why niwatese wengine
Ukweli flani mchungu hiv[emoji3]
 
Duh .... nimehoji na kutoa taarifa ya kitafiti mnakwama wapi?
 
Back
Top Bottom