MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 6,240
- 3,972
Wanaume wanaongoza kwa unafiki na roho mbaya (sio wote)Wanawake wanaongoza kwa unafiki na roho mbaya(sio wote)
Wanaume wanaongoza kwa unafiki na roho mbaya (sio wote)Wanawake wanaongoza kwa unafiki na roho mbaya(sio wote)
Hata tusipolialia yapo tu... MUULIZE MUGABEHivi mwanaume mzima unalia umedanganywa na mwanamke! Tatizo hamtii maagizo!
Naona huandiki uhalisia, kinachokusumbua ni wanawake kusemwa....Wanaume wanaongoza kwa unafiki na roho mbaya (sio wote)
Eti mtu sehemu kama rangi 3, makumbusho unakuta mchana gari zipo foleni tena sitaki asimame karibu yanguWengine wanafanya kusudi anaacha kusubiria gari nyingine zije anataka apande hiyo hiyo mliyojazana ili apishwe.
Mimi sipishi mtu kama mtoto lete nikushikie.
Uzinzi wake ulimponza yeye alikuwa na mke huyo delila alikuwa wakazi ganiHivi mwanaume mzima unalia umedanganywa na mwanamke! Tatizo hamtii maagizo!
Halafu mnasema Delila alimdanganya Samsoni. Hapo kuna watu wako wa karibu wengi tu wakikuomba hela unawaambia huna halafu unaenda kumpa mdada uliyekutana naye kwenye basi!Kweli wanawake wengi wana roho mbaya, mm yuko mmoja nilikutana safarini toka mwanza to arusha tuko siti moja tukawa tumezoeana, tulipofika arusha kila mmoja akashika hamsini zake ila tukawa tunaendelea kuwasiliana, basi siku moja akanipigia simu kuwa nimsaidie ana shida na hela na vilio vingi mm kwa vile ilikuwa ndani ya uwezo wangu nikamsadia sasa tangia hapo ndio nikawa kama nimenunua uadui nikimpigia simu hapokei wakati mm nilikuwa sina hata mpango wa kumdai hiyo hela
Yani kuna watu wana makusudi na ndio maana mimi kwenye daladala sikai siti ya mlangoni. Kila mtu anajua ametokaje kwenye safari yake, umejichokea zako ukazunguka na daladala upate siti halafu kirahisi rahisi tu umpishe mtu na huku miguu inawaka moto.Eti mtu sehemu kama rangi 3, makumbusho unakuta mchana gari zipo foleni tena sitaki asimame karibu yangu
Hivi wanaume mnaosema wanapendana ni hawa hawa tulionao Duniani au wengine!?Wanaume tuna upendo sana, wanawake hawapendanagi wenyewe kwa wenyewe
Hapo sasa huyo Delila si alimtongoza yeye mwenyewe, na huyo Adam yeye ndiye alipewa maagizo na Mungu kilicho mfanya amuache Eve aende pekeyake ni kitu gani kama si uvivu ningekuwa Mungu ningemlamba mabao yakutosha kabla ya sijamuuliza chochoteHalafu mnasema Delila alimdanganya Samsoni. Hapo kuna watu wako wa karibu wengi tu wakikuomba hela unawaambia huna halafu unaenda kumpa mdada uliyekutana naye kwenye basi!
Umetoka zako huko halafu mwingine anakuja na mbwembwe zake kisa atapishwa huwa nawashangaa halafu mnashuka wote mwishoYani kuna watu wana makusudi na ndio maana mimi kwenye daladala sikai siti ya mlangoni. Kila mtu anajua ametokaje kwenye safari yake, umejichokea zako ukazunguka na daladala upate siti halafu kirahisi rahisi tu umpishe mtu na huku miguu inawaka moto.
Naona umekuwa mimi sasa!Wanaume wanaongoza kwa unafiki na roho mbaya (sio wote)
Mugabe ni mtu tu!Hata tusipolialia yapo tu... MUULIZE MUGABE
Hata sisi nasi ni watu tu....Mugabe ni mtu tu!
Sasa kumbe aulizwe nini!?Hata sisi nasi ni watu tu....
Kauliza mkewe kumwondoa madarakani.... Yaani muendelezo wa yale ya DELILA na EVASasa kumbe aulizwe nini!?
Umeona eeeh hafu Dar kuna watu wana matumbo ka wajawazito kumbe ni ktambi cha bia na kitimoto, in short MTU akiwa kakaa ana matatizo yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanakaa wao kazi yao kutizama wanawake miili inavyotikisika
Sio lazima ila kutokutoa msaada kwa sababu tu wewe hukusaidiwa siku fulani ni sababu ya kijinga sanaUzuri kusaidia sio lazima, inategemea na moyo wa mtu
H a ha haaaaaaa hapana Mkuu yawezekana nilikuwa nshampisha mwingine hafu akapanda mwenye mtoto utafanyaje?😛😛😛We mwenye huruma kwanini usimpishe mpaka unaanza kugusagusa watu hovyo!
Mtakuja kupata makesi ya ajabu