Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,062
Licha ya kupisha wakati wakupanda wanawake wanavyopigwa viwiko, halafu mtu anashuka kituo cha tatuHi kitu huwa Mimi siielewi kabisa.Hivi kwanini inapofika suala la kuachiana viti inaonekana anayepaswa kumpisha mwanamke ni mwanamke mwenzie.Mwanamme ukimpisha mwanamke makalio yanakataa.Kwahili naona wanaume huwa mnaifanya ni dhambi ya wanawake ilhali hata ninyi mnawajibu.Acheni bwana kwamba hiyo gari wanaokuwa wamekaa ni wanawake tu.Naikomesha hii lawama baguzi Kwanzaa Leo.Acheni uchochezi bwana.