Usafiri wa daladala ni kipimo cha kiwango cha roho mbaya cha wakinamama na wadada

Siwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...

Nilisimama na mtoto mchanga

Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande

Nampisha mzee tuu!!!

Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
usilipe kisasi, hayo uliyokumbana nayo yakujenge kutenda mema.
 
Siwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...

Nilisimama na mtoto mchanga

Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande

Nampisha mzee tuu!!!

Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
Sio vizuri sister Ray.Usilipize utawavimbisha wenzako miguu.Show them love and they will learn from you.Unaweza ukawabadili in the positive way.
 
Siwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...

Nilisimama na mtoto mchanga

Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande

Nampisha mzee tuu!!!

Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
Roho mbaya haijengwi kwa kuwafanyia wengine roho mbaya Kama unaroho mbaya unaroho mbaya tu mbona yesu alifanyiwa roho mbaya lakini mpaka Leo Hana roho mbaya
 
Kama mbwai na iwe mbwai kuna wengine wanazidi wingine yupo kituoni gari zipo kibao badala apande nyingine asubili kupishwa afanye tu mazoezi, mwingine unampisha hata kusema asante anakaa na kuchukua smartphone yake ulimpisha unaanza kuvuja jasho la kwapa [emoji25] [emoji25] [emoji25] mwenzio anachart
Tenda wema nenda zako.
 
Kweli Mkuu ni nadra sana kuona mwanamke akimpisha mwananmke mwenzake ambae ni mkjamzito au mwenye kichanga but tofauti na wanaume huwa wako active kwenye hili.
Kwa hili wanaume najua mtaivuta sana ngoma sababu nyie ndio mnaoiwamba.

Ila mwisho wa siku kila mwenye busara awe mwanamke au mwanaume basi atampisha tu mtu ambaye anaonekana anastahili kupishwa.
 
Kwa hili wanaume najua mtaivuta sana ngoma sababu nyie ndio mnaoiwamba.

Ila mwisho wa siku kila mwenye busara awe mwanamke au mwanaume basi atampisha tu mtu mwenye hitaji la kukaa.
Haaaaaa Mkuu upooo?
Naona umenirukia kama mweweeeee. but siku zote ambazo napanda daldala sijawahi kumwona mwanamke anampisha mwanamke mwenzake especially wajawepesi na wenye watoto. Huwa naona sisi wanaume ndo tunakuwa wa haraka kuwapisha.
 
Ndio maana wanawake wanatakiwa wafanye sana toba kwa wingi na watoe sana Sadaka, kwani wao watakuwa wengi sana Motoni
 
Haaaaaa Mkuu upooo?
Naona umenirukia kama mweweeeee. but siku zote ambazo napanda daldala sijawahi kumwona mwanamke anampisha mwanamke mwenzake especially wajawepesi na wenye watoto. Huwa naona sisi wanaume ndo tunakuwa wa haraka kuwapisha.
Nipo mie namshukuru Allah uzima nnao. Hahahaaa. Wewe ndio mnyonge wangu. 😂😂😂😂

Sasa jamaani kama mwanamke akipanda hata hajakaa vizuri wanawake tukampisha unakuta mwanaume keshasimama kumpisha akae hapo tunafanyaje.

Pia mkae mkijua mwili wa mwanamke anaujua mwanamke mwenyewe sababu waeza kuta huyo mwanamke unayetaka apishe mtu naye ana yake yanayomsibu ndani kwa ndani ambayo sio rahisi kuyajua hivyo yambidi akae tu.
 
Mwanamke mwenzako mjamzito anastahili huruma mpishe siti, upate thawabu.
Mwanamke mwenzako anamtoto mchanga, mpishe siti akae, upate thawabu
Ikitokea umekanyagwa bahati mbaya na mwanamke mwenzako usitukane na kuwa mtata, kuwa muelewa
daladala sio Hammer au V8.

Wanaume wenzagu katika hili, Mungu anatuona jinsi tulivyo na roho nzuri.
Leo nimeshuhudia wanawake wanne waliokaribu na mwenzao ambaye anamtoto mchanga wakiwa wamevuta midomo na kukunja ndita kuonyesha hawatampisha mwenzao. Hii ilipelekea mwanaume aliyekaa mbali kabisa ampeshe mwanamke huyo.

wanawake mjirekebishe aisee. maroho mabaya sio dili.
Wanawake siku zote wana roho mbaya mkuu kwani ulikuwa hujui??
 
Nipo mie namshukuru Allah uzima nnao. Hahahaaa. Wewe ndio mnyonge wangu. 😂😂😂😂

Sasa jamaani kama mwanamke akipanda hata hajakaa vizuri wanawake tukampisha unakuta mwanaume keshasimama kumpisha akae hapo tunafanyaje.

Pia mkae mkijua mwili wa mwanamke anaujua mwanamke mwenyewe sababu waeza kuta huyo mwanamke unayetaka apishe mtu naye ana yake yanayomsibu ndani kwa ndani ambayo sio rahisi kuyajua hivyo yambidi akae tu.
Ha ha ha ha ha haaaaaa haya bana kumbe mm ndo mnyonge wako eeeh
Nilijua mtajitetea kwa hizo hoja😀😀😀😀😀😀
 
Hahahaaa. Ndio. 😜😜😜

Ni hoja ambazo zina ukweli ndani yake maana mnaweza tutia ubayani wanawake kumbe saa nyingine nyie ndio chanzo cha kufanya tuonekane hivyo.

Wacheni haraka za kuwapisha muone kama hatutawapisha.
 
Haaaaaa haaaaa wakati akiingia mama mjamwepesi/mwenye mtoto mdogo wanawake wote wanaaangalia pembeniiiii kqama vile hawamwoni hafu wanafura kwa hasiraa balaaaa. Sasa hapo mguse ukimwambia ampishe mwanamke mwenzake utaoga mitusi hiyoooo😀😀😀😀
By da way Mkuu usisahau kwenda masjid
 
Hahahaaaa. Mawazo yenu tu hayo banaaa.

Pia kuna swala la umbali nalo waeza kuta ni safari ya mbali na mafoleni hayo basi unakuta mtu akifikiria kusimama mwanzo hadi mwisho wa safari basi anaona aaaa wacha tu akae asipishe mtu.

Na saa nyingine hao wajawazito na wengine wanaojiona wanastahili kuhurumiwa nao wapunguzage safari zisizo za msingi au kama vipi wacheze na zile time za magari yakiwa na ahueni ili kuondoa hizi mambo za kuanza kutegemea huruma kutoka kwa waliokaa.

Sawa Mkuu hapa ndio nafanya maandalizi. 🙏🙏🙏
 
Ha ha haaaaaa katika kujitetea uko vizuri sana Mkuu but sual alinabaki pale pale muwe munawapisha kidogo.
Ok vizuri sana kujiandaa mapema ukapate Ngamia🙂🙂🙂
 
Siwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...

Nilisimama na mtoto mchanga

Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande

Nampisha mzee tuu!!!

Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
Alafu utakuta sala ya Baba yetu ukifika ule mstari wa mtego na wewe unaongeza sauti kabisa "Utusamehe makosa yetu kama na sisi tunavyowasamehe waliotukosea"
 
Ha ha haaaaaa katika kujitetea uko vizuri sana Mkuu but sual alinabaki pale pale muwe munawapisha kidogo.
Ok vizuri sana kujiandaa mapema ukapate Ngamia🙂🙂🙂
Hahahaaaa. Tukiwa hatuna sababu za kukaa tutawapisha tu. Japokuwa napenda muendelee na roho zenu hizo hizo nzuri jamaani 😂😂😂

Kweli kabisa.
 
😛😛😛😛 afadhari umekubari 😀 😀😀
 
Back
Top Bottom