Usafiri wa daladala ni kipimo cha kiwango cha roho mbaya cha wakinamama na wadada

Usafiri wa daladala ni kipimo cha kiwango cha roho mbaya cha wakinamama na wadada

Kama mbwai na iwe mbwai kuna wengine wanazidi wingine yupo kituoni gari zipo kibao badala apande nyingine asubili kupishwa afanye tu mazoezi, mwingine unampisha hata kusema asante anakaa na kuchukua smartphone yake ulimpisha unaanza kuvuja jasho la kwapa [emoji25] [emoji25] [emoji25] mwenzio anachart

Kumbe na wewe una roho mbaya hivyo kama jiwe
 
Siwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...

Nilisimama na mtoto mchanga

Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande

Nampisha mzee tuu!!!

Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
si vyema kulipa ubaya kwa ubaya.
pole lkn!
 
Sasa usimpishe mwenzio je ukimwona mtoto wa mwanamke mwenzio kapotea kama huyu Beauty si ndo utampoteza zaidi! jamani acha hiyo roho mpendane kama Bwana Yesu alivyotupenda
Acha hizo wewe unajua wenzio kapanda kwenye gari katoka wapi?
Je kama mgonjwa nayeye au kumbe tumboni nayeye kabeba mtoto

Kwanza usiniharibia wakati wangu
 
Siwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...

Nilisimama na mtoto mchanga

Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande

Nampisha mzee tuu!!!

Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
Huu uamuzi wako nao ni aina ya ujinga. Kwa hiyo wewe usiposaidiwa ndiyo husaidii wengine?!!
 
Kama mbwai na iwe mbwai kuna wengine wanazidi wingine yupo kituoni gari zipo kibao badala apande nyingine asubili kupishwa afanye tu mazoezi, mwingine unampisha hata kusema asante anakaa na kuchukua smartphone yake ulimpisha unaanza kuvuja jasho la kwapa [emoji25] [emoji25] [emoji25] mwenzio anachart
Hapo sasa
 
Yaani kaona 1 lakini wanavyolikuza kama mbuyu, sio kila anayepanda unampisha je kama naumwa mfano pale zakhem na rangi 3 mtu anamtoto anaenda kawe badala akapandie rangi 3 eti anakuja kupandia kituo cha 2 kama si kujitakia asimame tu mpaka kiuno kiitike beee
Umeona eeh!toka siku mmesimama na mimba mpk km sina nauli ya kuzunguka na gari sipandi...bora nchelewe kuliko kusimama!!
 
Mwanamke mwenzako mjamzito anastahili huruma mpishe siti, upate thawabu.
Mwanamke mwenzako anamtoto mchanga, mpishe siti akae, upate thawabu
Ikitokea umekanyagwa bahati mbaya na mwanamke mwenzako usitukane na kuwa mtata, kuwa muelewa
daladala sio Hammer au V8.

Wanaume wenzagu katika hili, Mungu anatuona jinsi tulivyo na roho nzuri.
Leo nimeshuhudia wanawake wanne waliokaribu na mwenzao ambaye anamtoto mchanga wakiwa wamevuta midomo na kukunja ndita kuonyesha hawatampisha mwenzao. Hii ilipelekea mwanaume aliyekaa mbali kabisa ampeshe mwanamke huyo.

wanawake mjirekebishe aisee. maroho mabaya sio dili.
Mwanamume yeyote , rijali, jasiri, mwenye kujitambua ,aliepitia jando , ndio anatakiwa ampishe siti mwanamke, awe ana mimba, ana mtoto , mzee , mtu mzima na si kuwashutumu wanawake kwa kutopapisha wenzao ..
 
Umeona eeh!toka siku mmesimama na mimba mpk km sina nauli ya kuzunguka na gari sipandi...bora nchelewe kuliko kusimama!!
Wapo kweli unampisha kwa moyo wote, hao hao wanaume niwadogo kutuzidi sie halafu wenyewe wanashindwa kuwapisha mama zao tukianza kupanda magari hao hao ndiyo wakwanza kutupiga viwiko kukimbilia siti halafu anapanda makumbusho nakushukia Morocco [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Mwanamume yeyote , rijali, jasiri, mwenye kujitambua ,aliepitia jando , ndio anatakiwa ampishe siti mwanamke, awe ana mimba, ana mtoto , mzee , mtu mzima na si kuwashutumu wanawake kwa kutopapisha wenzao ..
wanaume hilo sio shida, ila wanawake hata wakiwa wamejaa bus zima. kupishwa ni nadra sana, hasa wadada
 
Back
Top Bottom