Usafiri wa daladala ni kipimo cha kiwango cha roho mbaya cha wakinamama na wadada

Usafiri wa daladala ni kipimo cha kiwango cha roho mbaya cha wakinamama na wadada

Siwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...

Nilisimama na mtoto mchanga

Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande

Nampisha mzee tuu!!!

Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
Kwani aliyekua hajakupisha alikua mjamzito Hadi usiwapishe?
 
Siwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...

Nilisimama na mtoto mchanga

Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande

Nampisha mzee tuu!!!

Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
Tenda wema nenda zako
 
Pole sana....!Ulianzia Zakhiem,kizuian,kwa mangaya..sabasaba kwa mpili,KTM,Msikitini,Mtongani,Kwa Aziz Ally,Sabasaba,dah...ukamalizia Uhasibu,Salvation Army,JKT,Kilwa Road,Ufundi,Mivinjeni hatimaye ukafika Dah... !
 
Sipishi mtu.

Sababu
1) Sheria haziruhusu abiria kusimama ndani ya vyombo vya usafiri.
2) Wote tunalipa nauli sawa.
 
Mwanamke mwenzako

mjamzito anastahili huruma mpishe siti, upate thawabu.
Mwanamke mwenzako anamtoto mchanga, mpishe siti akae, upate thawabu
Ikitokea umekanyagwa bahati mbaya na mwanamke mwenzako usitukane na kuwa mtata, kuwa muelewa
daladala sio Hammer au V8.

Wanaume wenzagu katika hili, Mungu anatuona jinsi tulivyo na roho nzuri.
Leo nimeshuhudia wanawake wanne waliokaribu na mwenzao ambaye anamtoto mchanga wakiwa wamevuta midomo na kukunja ndita kuonyesha hawatampisha mwenzao. Hii ilipelekea mwanaume aliyekaa mbali kabisa ampeshe mwanamke huyo.

wanawake mjirekebishe aisee. maroho mabaya sio dili.
CCM watapinga hili. CCM wahuni sana 😂😂😂😂
 
Acha hizo nizikose...!!!mmekubali kabisaa!!niliumia siku ile mpk mdada wa NHIF alinionea huruma pale headquarters maana mpk naingia ofisini hoiiii!!!

Ntawatendea kwa mengine
Kwani huyo mdada wa nhif yeye sio mwana mke
 
Acha hizo nizikose...!!!mmekubali kabisaa!!niliumia siku ile mpk mdada wa NHIF alinionea huruma pale headquarters maana mpk naingia ofisini hoiiii!!!

Ntawatendea kwa mengine
Hivi hayo mengine ni yepi mama happy?
 
Siwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...

Nilisimama na mtoto mchanga

Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande

Nampisha mzee tuu!!!

Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
Tanzania ikiwa na watu kumi wenye akili ya ovyo kama hii...mhh safari ya kufika tuendapo itazidi kuwa ngumu..

Eti unadai umefundishwa roho mbaya, wakati unaonekana ndivo ulivo...
 
wanaume hilo sio shida, ila wanawake hata wakiwa wamejaa bus zima. kupishwa ni nadra sana, hasa wadada
Mwanamume anaeitwa rijali , yeye ndio wa kuwatunza wanawake , yeye ndio wakwanza kujitolea kwa jambo lolote , ukiona mwanaume kapanda basi , halafu kapanda mwanamke mjamzito, au anamtoto , au mzee , au mgojwa , alafu anasubiri wanawake wapishe siti , badala ya yeye kupisha siti , tia shaka kuhusu uanamme wake , labda itakua mwanamme suruali huyo.
 
Tena kiitikie bee kama saut ya mbuzi akilia
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] utakuta mtu kutwa na mtoto mgongoni katoka kariakoo jua hilo kununua
dela tu wakati hiyo nauli angeongeza akanunua huku huku mtaani
 
Mwanamama anamimba anaingia kwenye gari anaanza kuangaza angaza wa kumpisha. Hapo ndo kabisaaaa ananiudhi ,bado wale Kuna gari ziko wazi anapanda liliojaa ,,

mamangu alisema mtu Mwenye mtoto mpishe kama tu kumebanana sio kasimama gari haijabanana unampisha,,hakuna mwanamke asiyemuweza mwanae ndo mana mama anaweza tembea km 5 na mtoto mgongoni bila kumshushaa
Huwa tunasaidiana kubeba mtoto unamshikia mtoto basi hata aliyekaa naye anaumuhimu mimi
mtu asiponipisha wala sinung'uniki ni hiyari yake
 
Sisi wanaume kwanza ndio tungekuwa mfano wa kuigwa kwa hawa wenzetu, sisi ndio wenye roho ngumu. Unakikuta kidume kinagombea siti Posta halafu kinashuka Mbuyuni au Ubalozi, badala ya kuwagombania hawa wamama na wadada wawahi nyumbani kuandaa mazingira ya kijamii tunakuja kuwasakama sababu ya kutowapisha wenzao kwenye siti, Pathetic!

Binafsi nikipanda kwenye daladala nikamuona mzee, mlemavu, mjamzito au mama kabeba mtoto kapandia kituoni au kituo cha mbele akitegemea aipate huruma yangu, asahau. Tusidekezane upumbavu
[emoji134]
 
Hata mzee usimpishe pia maana amekula chumvi ya kutosha kama mwenye katoto kachanga kanasimama na mama yake..

Kwenye mimba wakati mwingine ni mazoezi hata asipopishwa hivyo hata wewe kutokupishwa kwako ilikuwa kuna faida hata ikapelekea uzazi uende vizuri maana wajawazito wanaojidekeza wengine kwenye uzazi huwa ni issue
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom