Usafiri wa daladala ni kipimo cha kiwango cha roho mbaya cha wakinamama na wadada

Usafiri wa daladala ni kipimo cha kiwango cha roho mbaya cha wakinamama na wadada

Nilimuelewa sana dereva wa daladala aliyejibizana na abiria kuwa yeye sio shida yake na wala hawazi kuhusu swala la kujaza abiria hadi mlangoni kwasababu daladala sio gari ya starehe bali ni gari ya biashara kwahiyo wavumiliane wakikanyagana hapo wako kibiashara na sio kistarehe.
 
Mimi sipishi mtu hata awe nani maana usafiri wa daladala ni kero mijianaume ya Dar kazi yao huwa kutubambia tu sasa kuliko kuchefukwa roho nini?
 
Katika ulimwengu huu hakuna kiumbe mwenye roho mbaya kwa binadamu mwenzie kama mwanamke. Na hii ndiyo maana ibirisi anawatumia sana kufanikisha mambo yake.
1. Alomdanganya Adamu kula tunda ni mwanamke - tena mke wake

2. Alosababisha Samsoni mwenye nguvu nyingi auawe ni mwanamke tena mke wake ...

Wanawake hawapendani, hawapendi hata wanaume ... akikupenda ujue kuna kitu kakiona kwako!
Koma kutusingizia wanawake nyie ndo MNA roho mbaya ndo maana mumejaa jela kuua nyie
 
Siwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...

Nilisimama na mtoto mchanga

Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande

Nampisha mzee tuu!!!

Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
True love is unconditional. Our father in heaven teaches that. Dont expect something in return
 
Huwa tunasaidiana kubeba mtoto unamshikia mtoto basi hata aliyekaa naye anaumuhimu mimi
mtu asiponipisha wala sinung'uniki ni hiyari yake
Huyo mtoto nae inategemea awe na hali gani, unakuta mtoto ananuka mikojo, kamasi limemtapakaa mama ake hana habari. Nan ahusike na ujinga huo? Wamama mjifunze!
 
Laiti Mungu angetutenga wanawake waishi kivyeo na sisi kivyetu, haki nakuambia vifo vya kutisha na vingi sana vingetokea upande wa wanawake, wana roho mbaya shetani anasubiri.
 
Siwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...

Nilisimama na mtoto mchanga

Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande

Nampisha mzee tuu!!!

Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
Unaweza ukawa chanzo cha mabadiliko, usisubiri utendewe wewe ndio na ww urudishe wema, anza wewe kutenda wema...
 
Umeonaeee...Kikwetu hivo vinaitwa vipepsi.Mwaka 2012 daladala za Kimara posta nilipigwa kipepsi na mwanababa mmoja ana misuli ya John Cena siwezi sahau.Niliona giza Kama dk 5 hivi.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] pole sana , halafu ndiyo tunaambiwa hatupishi kina mama kijacho makubwa haya
 
Nilimuelewa sana dereva wa daladala aliyejibizana na abiria kuwa yeye sio shida yake na wala hawazi kuhusu swala la kujaza abiria hadi mlangoni kwasababu daladala sio gari ya starehe bali ni gari ya biashara kwahiyo wavumiliane wakikanyagana hapo wako kibiashara na sio kistarehe.
Duu[emoji25] nakuibiana humo humo
 
Mimi sipishi mtu hata awe nani maana usafiri wa daladala ni kero mijianaume ya Dar kazi yao huwa kutubambia tu sasa kuliko kuchefukwa roho nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanakaa wao kazi yao kutizama wanawake miili inavyotikisika
 
Huyo mtoto nae inategemea awe na hali gani, unakuta mtoto ananuka mikojo, kamasi limemtapakaa mama ake hana habari. Nan ahusike na ujinga huo? Wamama mjifunze!
Mie simshiki nakaa kimya mbona wangu msafi atajijua mwenyewe, nikiwa mdogo mama yangu alirudi mikono juu namwambia vip tena eti nimwagilizie maji kuna mtoto nilimpakata mchafu mikojo maziwa hata sijui aliogeshwa lini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti mbona hata mm nilizaa lakini si kwa uchafu ule hapana
 
Back
Top Bottom