Usafiri wa daladala ni kipimo cha kiwango cha roho mbaya cha wakinamama na wadada

Usafiri wa daladala ni kipimo cha kiwango cha roho mbaya cha wakinamama na wadada

Siwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...

Nilisimama na mtoto mchanga

Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande

Nampisha mzee tuu!!!

Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba

ULIKUWA UNAWAPISHA SITI KUTAKA SIFA AU BARAKA ZA MUNGU, KAMA BARAKA ZA MUNGU ENDELEA KUWAPISHA ILI UPATE KUBARIKIWA KAMA ULIKUWA UNATAKA SIFA WALIPIZIE KISASI ILA HUTAIONA BARAKA ZA MUNGU MTU HUTAKIWI KULIPIZA KISASI
 
ukarimu ni maumbile, ukimpa wepes ndugu yako mwenye shida, roho yako inakua nyepesi na kufarijika

dawa ya moto ni maji na sio moto

dawa ya kufanyiwa roho mbaya, ni kutenda ihsani na kukunjua nafsi, wadada someni kdg kdg mutafika

comments za Wamama na wadada kunasibishwa Uroho mbaya ni kashfa haswaa - mbaya zaid, wamepatikana humu humu kuhakikisha hili.
 
Wanawake kuweni kama wavuta bangi, hao watu hupendana sana.
 
Siwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...

Nilisimama na mtoto mchanga

Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande

Nampisha mzee tuu!!!

Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
Dah roho hii, mungu akusamehe
 
Mkuu wanawake hawapendani kabisa, sijui kwa nini?mwanamke yupo tayari kumuona mwanamke anahadhilika na yeye yepo na ana uwezo wa kumstiri anao akauchuna.ivi mda nini nyie mke?nakazia Mada
Hebu tupe ushuhuda wako moja tu juu ya hili
 
tunasema kwa sababu wanaume wao kupisha ni kawaida. ila wakina mama kwa wakina mama ni nadra, tena anWeza kumsonya kabisa.
mkuu hii roho mbovu unadhani tunaikomeshaje.
Kwahiyo siku hiyo kulikuwa na wajawazito wengi kwenye hilo basi, wanaume wote mkawapisha mpaka sit zikaisha ikabidi na wanawake wafanye hivyo!?
Ogopa sana mwanaume mlalamishi!
 
Kwa hili wanaume najua mtaivuta sana ngoma sababu nyie ndio mnaoiwamba.

Ila mwisho wa siku kila mwenye busara awe mwanamke au mwanaume basi atampisha tu mtu mwenye hitaji la kukaa.
Mpaka nimekaa ujue nina hitaji la kukaa tayari!
 
like poles repel while unlike poles attract each other, haihitaji PhD kujua hilo
 
Haaaaaa Mkuu upooo?
Naona umenirukia kama mweweeeee. but siku zote ambazo napanda daldala sijawahi kumwona mwanamke anampisha mwanamke mwenzake especially wajawepesi na wenye watoto. Huwa naona sisi wanaume ndo tunakuwa wa haraka kuwapisha.
Ndio inavyotakiwa hiyo.
 
Mwanamke mwenzako mjamzito anastahili huruma mpishe siti, upate thawabu.
Mwanamke mwenzako anamtoto mchanga, mpishe siti akae, upate thawabu
Ikitokea umekanyagwa bahati mbaya na mwanamke mwenzako usitukane na kuwa mtata, kuwa muelewa
daladala sio Hammer au V8.

Wanaume wenzagu katika hili, Mungu anatuona jinsi tulivyo na roho nzuri.
Leo nimeshuhudia wanawake wanne waliokaribu na mwenzao ambaye anamtoto mchanga wakiwa wamevuta midomo na kukunja ndita kuonyesha hawatampisha mwenzao. Hii ilipelekea mwanaume aliyekaa mbali kabisa ampeshe mwanamke huyo.

wanawake mjirekebishe aisee. maroho mabaya sio dili.
Nijuwacho, wanawake huwa wanapenda iwapo tu ...KIL MMOJA ANAKOTOKA ANATESWA NA WAMEKUTANA WANASIMULIANA... nje ya hapo hamna kitu
 
Haaaaaa haaaaa wakati akiingia mama mjamwepesi/mwenye mtoto mdogo wanawake wote wanaaangalia pembeniiiii kqama vile hawamwoni hafu wanafura kwa hasiraa balaaaa. Sasa hapo mguse ukimwambia ampishe mwanamke mwenzake utaoga mitusi hiyoooo😀😀😀😀
By da way Mkuu usisahau kwenda masjid
We mwenye huruma kwanini usimpishe mpaka unaanza kugusagusa watu hovyo!
Mtakuja kupata makesi ya ajabu
 
Wanafunzana roho hata huyo mwenye mtoto nae siku ajabeba mtoto huwa ampishi mwenye mtoto
 
Wengine wanafanya kusudi anaacha kusubiria gari nyingine zije anataka apande hiyo hiyo mliyojazana ili apishwe.

Mimi sipishi mtu kama mtoto lete nikushikie.
 
Katika ulimwengu huu hakuna kiumbe mwenye roho mbaya kwa binadamu mwenzie kama mwanamke. Na hii ndiyo maana ibirisi anawatumia sana kufanikisha mambo yake.
1. Alomdanganya Adamu kula tunda ni mwanamke - tena mke wake

2. Alosababisha Samsoni mwenye nguvu nyingi auawe ni mwanamke tena mke wake ...

Wanawake hawapendani, hawapendi hata wanaume ... akikupenda ujue kuna kitu kakiona kwako!
Hivi mwanaume mzima unalia umedanganywa na mwanamke! Tatizo hamtii maagizo!
 
Back
Top Bottom