binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Utukutu ulikuwa mkubwa sana miaka ile ya tisini hasa wakati ule Tambaza imeleta balaa. Wanafunzi walihamishiwa shule tofauti tofauti. Nakumbuka katika tukio moja lakini najua ni utoto, wanafunzi kutoka Dar waliwaza kuiteka meli wakati wanakuja Mtwara Tech. Pia kuna wanafunzi walipanga njama kuuza gari la shirika la posta na simu( enzi zile posta na ttcl kilikuwa ni kitu kimoja) lakini waliishia mikononi mwa polisi. Enzi zile pamoja walikuwa ni wanafunzi na mawazo ya foolish age, lakini walikuwa na mambo mazito kichwani.
Utukutu ulikuwa mkubwa sana miaka ile ya tisini hasa wakati ule Tambaza imeleta balaa. Wanafunzi walihamishiwa shule tofauti tofauti. Nakumbuka katika tukio moja lakini najua ni utoto, wanafunzi kutoka Dar waliwaza kuiteka meli wakati wanakuja Mtwara Tech. Pia kuna wanafunzi walipanga njama kuuza gari la shirika la posta na simu( enzi zile posta na ttcl kilikuwa ni kitu kimoja) lakini waliishia mikononi mwa polisi. Enzi zile pamoja walikuwa ni wanafunzi na mawazo ya foolish age, lakini walikuwa na mambo mazito kichwani.
Inabidi tumkumbuke Kikwete.
Kijana nahisi kama nakufahamu vile....Raafa yupo UTumishi anafundisha, Bat alishahama Mtwara, alikuwa na mdogo ake flani mzuri sana...!!mi mwenyeji sana hiyo mitaa,nyie ndio intake ya kina rafael mwango,bathlomea mihayo,peter lalubare, nk!!
Mturi ni Mtangazaji maarufu wa PrideFM radio, dokta wa kero za wananchi,,,,!!Andrea Mturi ni mchoraji mzuri sana huyu jamaa,baadae aka okoka baada ya dada yao kufariki na kuwahusia waokoke,wakati huo niko Mtwara tulikua tunapiga sana nondo pale kwa mzee nani sijui jina lime nitoka kwa kina ras bano ligula pale.
Kijana nahisi kama nakufahamu vile....Raafa yupo UTumishi anafundisha, Bat alishahama Mtwara, alikuwa na mdogo ake flani mzuri sana...!!
Bila shaka we ni classmate na akina SELEMANI KUNGAPA...!!Kwa kweli Madam B Mtwara unaifaham vizuri. Vipi hivi karibuni ushawahi kutembelea tena. Kuko vizuri sana kwa sasa! Ila nadhan kwa miaka inayotajwa nadhan mimi nilishamaliza kitambo kidogo sekondari miaka ile ya 97. Wakat ule Mtwara Tech nilikosoma madem hamna, munasubiri hadi.siku ya Disco munaruhusiwa kuondoa stress kwenda kucheza na Mtwara Girls. Wakati ule Manispaa ya Mtwara sekondari ni tatu tu yaani Mtwara Tech, mahasim wetu Sabasaba na Mtwara Girls. Ilikuwa bonge la raha tunafanya michezo pale TTC!
Miaka ile sisi tunasoma primary ulikuwa ukivuka Magomeni ni pori, Kanisa la Magomeni lilikuwa peke yake ni miembe tu, maembe unapiga mateke tu. Kutoka kanisa ni pori hadi pale Kijiji cha Ufukoni( Ufukweni kwa Kiswahili kilichozoeleka) kutoka pale ni pori hadi ufike Mikindani. Kutoka Mikindan ni pori hadi Mpapura yaani pale Msijute ambapo leo kuna mji na bar ile ya Mr Kweka ni.msitu mtupu. Ama kwa hakika mambo yanabadilika.
Leo hii kutoka mjini hadi Mikindani kilometa 12 ni mji mtupu na pia Mikindani hadi Msijute kilometa 7 hadi ulipo mji kinapojengwa kiwanda cha Alhaj Aliko Dangote ni almost mji tu! Ama kwa hakika Mtwara Kumekucha- KUCHELE!
Haswaaaa!! Alikuwa anatembea na mshkaji mmoja akiitwa Karim...dah ilikpofika form 4,karimu akapasuka na ZERO , dem akatoka na 2, na mahusiano yao yakaishia hapo!! Demu alisema hataki vilaza!! HahahaaaMdogo ake bahati yule dogo daah matata sana aisee.
Haswaaaa!! Alikuwa anatembea na mshkaji mmoja akiitwa Karim...dah ilikpofika form 4,karimu akapasuka na ZERO , dem akatoka na 2, na mahusiano yao yakaishia hapo!! Demu alisema hataki vilaza!! Hahahaaa
Huyo ndo akitoka na bahati....mdogo wa Bat...hahaaa...Sorry sio Karim ni huyo MshamuYule dogo blazameni flani hivi anaitwa mshamu nayopa yupo?
Hahaaa nikikutajia utanifahamu tu mkuu....ni bora ibaki hivihivi au chemba....anyway kwa kuwa mi ni verified user, ntakwambia...nakaa hapa kwa Jionee chini kidogoBlaza una kaa maeneo gani hapo?
Hahaaa nikikutajia utanifahamu tu mkuu....ni bora ibaki hivihivi au chemba....anyway kwa kuwa mi ni verified user, ntakwambia...nakaa hapa kwa Jionee chini kidogo
Dah we ni sheedah....yupo Dom anatekeleza majukumu yake mkuu!!Ha ha ha iknow you ha ha ha! Blaza ako yuko wapi siku hizi kitambo sana.
NOBODY is drinking SODA, ni Azam Juice kwa kwenda mbele!! na other cold drinks(Fanta, Sprite n likes)Katika hivyo vinywaji soda wanatoa....
Dah we ni sheedah....yupo Dom anatekeleza majukumu yake mkuu!!
MiamiaOk tuko pamoja fb.
hivi bandar club bado inaoperate? Maana miaka ile viwanja vilikuwa ni la sindimba disco- litingi, maibras, bandar club, blant yre na magomeni club zilikuja baadae. Ila naamin kwa sasa mambo yamechange
mturi ni mtangazaji maarufu wa pridefm radio, dokta wa kero za wananchi,,,,!!