binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Utukutu ulikuwa mkubwa sana miaka ile ya tisini hasa wakati ule Tambaza imeleta balaa. Wanafunzi walihamishiwa shule tofauti tofauti. Nakumbuka katika tukio moja lakini najua ni utoto, wanafunzi kutoka Dar waliwaza kuiteka meli wakati wanakuja Mtwara Tech. Pia kuna wanafunzi walipanga njama kuuza gari la shirika la posta na simu( enzi zile posta na ttcl kilikuwa ni kitu kimoja) lakini waliishia mikononi mwa polisi. Enzi zile pamoja walikuwa ni wanafunzi na mawazo ya foolish age, lakini walikuwa na mambo mazito kichwani.
Hahahaaa nimecheka sana, lol!