Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

Utukutu ulikuwa mkubwa sana miaka ile ya tisini hasa wakati ule Tambaza imeleta balaa. Wanafunzi walihamishiwa shule tofauti tofauti. Nakumbuka katika tukio moja lakini najua ni utoto, wanafunzi kutoka Dar waliwaza kuiteka meli wakati wanakuja Mtwara Tech. Pia kuna wanafunzi walipanga njama kuuza gari la shirika la posta na simu( enzi zile posta na ttcl kilikuwa ni kitu kimoja) lakini waliishia mikononi mwa polisi. Enzi zile pamoja walikuwa ni wanafunzi na mawazo ya foolish age, lakini walikuwa na mambo mazito kichwani.

Hahahaaa nimecheka sana, lol!
 
Hivi kwanini walikuwa na ishu nzito nzito?
 
Inabidi tumkumbuke Kikwete.

kikwete akumbukwe kwa lipi wewe mwanamke? Yaaani kama na wewe umeolewa huyo mumeo ana sheeeedaaaa! For your information, we will remember kikwete kwa honorary degrees including the current professorship ova!
 
mi mwenyeji sana hiyo mitaa,nyie ndio intake ya kina rafael mwango,bathlomea mihayo,peter lalubare, nk!!
Kijana nahisi kama nakufahamu vile....Raafa yupo UTumishi anafundisha, Bat alishahama Mtwara, alikuwa na mdogo ake flani mzuri sana...!!
 
Andrea Mturi ni mchoraji mzuri sana huyu jamaa,baadae aka okoka baada ya dada yao kufariki na kuwahusia waokoke,wakati huo niko Mtwara tulikua tunapiga sana nondo pale kwa mzee nani sijui jina lime nitoka kwa kina ras bano ligula pale.
Mturi ni Mtangazaji maarufu wa PrideFM radio, dokta wa kero za wananchi,,,,!!
 
Kwa kweli Madam B Mtwara unaifaham vizuri. Vipi hivi karibuni ushawahi kutembelea tena. Kuko vizuri sana kwa sasa! Ila nadhan kwa miaka inayotajwa nadhan mimi nilishamaliza kitambo kidogo sekondari miaka ile ya 97. Wakat ule Mtwara Tech nilikosoma madem hamna, munasubiri hadi.siku ya Disco munaruhusiwa kuondoa stress kwenda kucheza na Mtwara Girls. Wakati ule Manispaa ya Mtwara sekondari ni tatu tu yaani Mtwara Tech, mahasim wetu Sabasaba na Mtwara Girls. Ilikuwa bonge la raha tunafanya michezo pale TTC!

Miaka ile sisi tunasoma primary ulikuwa ukivuka Magomeni ni pori, Kanisa la Magomeni lilikuwa peke yake ni miembe tu, maembe unapiga mateke tu. Kutoka kanisa ni pori hadi pale Kijiji cha Ufukoni( Ufukweni kwa Kiswahili kilichozoeleka) kutoka pale ni pori hadi ufike Mikindani. Kutoka Mikindan ni pori hadi Mpapura yaani pale Msijute ambapo leo kuna mji na bar ile ya Mr Kweka ni.msitu mtupu. Ama kwa hakika mambo yanabadilika.

Leo hii kutoka mjini hadi Mikindani kilometa 12 ni mji mtupu na pia Mikindani hadi Msijute kilometa 7 hadi ulipo mji kinapojengwa kiwanda cha Alhaj Aliko Dangote ni almost mji tu! Ama kwa hakika Mtwara Kumekucha- KUCHELE!
Bila shaka we ni classmate na akina SELEMANI KUNGAPA...!!
 
Mdogo ake bahati yule dogo daah matata sana aisee.
Haswaaaa!! Alikuwa anatembea na mshkaji mmoja akiitwa Karim...dah ilikpofika form 4,karimu akapasuka na ZERO , dem akatoka na 2, na mahusiano yao yakaishia hapo!! Demu alisema hataki vilaza!! Hahahaaa
 
Blaza una kaa maeneo gani hapo?
 
Blaza una kaa maeneo gani hapo?
Hahaaa nikikutajia utanifahamu tu mkuu....ni bora ibaki hivihivi au chemba....anyway kwa kuwa mi ni verified user, ntakwambia...nakaa hapa kwa Jionee chini kidogo
 
Hahaaa nikikutajia utanifahamu tu mkuu....ni bora ibaki hivihivi au chemba....anyway kwa kuwa mi ni verified user, ntakwambia...nakaa hapa kwa Jionee chini kidogo

Ha ha ha iknow you ha ha ha! Blaza ako yuko wapi siku hizi kitambo sana.
 
hivi bandar club bado inaoperate? Maana miaka ile viwanja vilikuwa ni la sindimba disco- litingi, maibras, bandar club, blant yre na magomeni club zilikuja baadae. Ila naamin kwa sasa mambo yamechange

bandari club ipo ila si km ya mwanzo a
sasa hv umekua ukumbi wa kichen party pabovu tu
litingi pamebomolewa kimejengwa chuo km sikosei au hosteli
magomeni ndo disco vumbi lao
sasa hv makonde club,maisha kuna(strippers)
na kuna supermarket maeneo ya madukani na pia kuna safari lounge
 
mturi ni mtangazaji maarufu wa pridefm radio, dokta wa kero za wananchi,,,,!!

mturi bwana anaweza agosti nilienda nikaambiwa sas p kahama pride kaenda safari
nkasema kaenda kufulia maana
bila kusahau abdu shabani msambaza cable wetu ntwara yoote bbbaaah!!
 
Back
Top Bottom