kikwete akumbukwe kwa lipi wewe mwanamke? Yaaani kama na wewe umeolewa huyo mumeo ana sheeeedaaaa! For your information, we will remember kikwete kwa honorary degrees including the current professorship ova!
geniveros, nahisi nakufahamu pia!! anyway mastory yenu nahisi tulishawahi mingle somewhere..LOL
bandari club ipo ila si km ya mwanzo a
sasa hv umekua ukumbi wa kichen party pabovu tu
litingi pamebomolewa kimejengwa chuo km sikosei au hosteli
magomeni ndo disco vumbi lao
sasa hv makonde club,maisha kuna(strippers)
na kuna supermarket maeneo ya madukani na pia kuna safari lounge
naliendele nao enzi hizo walikua watata sana
kumbee aisee abdu swamad asingekubali mil200 maana anapesa si anajenga ghorofa huku nyuma ya mnazini anawanunua madiwani kina shilingi kn hana akili nzuri mabo yake yapite
usemayo kweli mil800kwa mjiji mingine ni nyingi sana ila kwa pale watu wanamsikita sana ndogi then eneo ni very potential
Je usafiri wa Dar Mtwara ukoje, ni wa uhakika au full kero? Naona tumejikita kwa barabara pekee.
Duh mkk NN umetisha...Jana kimekuja kivuuko kippyaaaaaaaaaa Nsangamkuu, ntaweka picha zake badae kidogo!! Ngoja nikakipige mtasa
Hahaha hivi Litingi si ndo kuna shule ya King David maeneo hayo sijui kama ile club bado ipo. Na Blantayre naona sikuiz pamekuwa Open University ile club imekufa au imehamishwa?
Hako kaminisuper market nimewah kaona ila friji la ice cream za Azam utakuta wameweka njegere hahaha.
Safari lounge sikuiz pameanza kufulia vumbi tu la maduka makubwa limepaharibu.
Ushirika nadhani sikuizi hakuna disco toto tena pamekufa jirani kuna bank ya BOA.
Naf Beach.. BRN Royal Pam.. Msimbati nasikia sikuiz ndio kuna hit bila kusahau Msemo Beach, Makonde,Maisha club n.k
Wanafunzi wa Naliendele walikuwa wanaviziaga lifti za gari za jeshi au malori ya michanga kama hauna baiskeli hahaha bora sikuizi kuna daladala.
Usinikumbushe Nyani Ngabu, mie nilikuwa naishi Indian Quarters kwa washua.
Ukituchokoza, ugomvi wake wanakuja kusuluhisha wazazi wakirudi job
naliendele nomaa na mkuu wao wa mwanzo mwl milanzi au bob milla au kanda bongoman asa hv bob hittu
siku hizi murji kawapa gari kidogo inassidia maana hata hizo hiace bado wanayanyasika sana kule
Ila kile kipande, soon kitaisha maana mwezi Juni walikuwa wanamwaga mkeka rafu
Msaada tutani kuna jengo linajengwa jirani na shule ya msingi rahaleo pale zilipokuwa kota za vigaeni kwa sasa zimebomolewa. Lile jengo la ghorofa ni la nini ofisi au?
Dah bora wamesaidiwa
Benki Kuu ya Tanzania Mtwara Branch!
Hahaha hivi Litingi si ndo kuna shule ya King David maeneo hayo sijui kama ile club bado ipo. Na Blantayre naona sikuiz pamekuwa Open University ile club imekufa au imehamishwa?
Hako kaminisuper market nimewah kaona ila friji la ice cream za Azam utakuta wameweka njegere hahaha.
Safari lounge sikuiz pameanza kufulia vumbi tu la maduka makubwa limepaharibu.
Ushirika nadhani sikuizi hakuna disco toto tena pamekufa jirani kuna bank ya BOA.
Naf Beach.. BRN Royal Pam.. Msimbati nasikia sikuiz ndio kuna hit bila kusahau Msemo Beach, Makonde,Maisha club n.k
Kuhusu usafiri kuna jambo moja wafanyabiashara hawajaw wabunifu. Kama basi la kwanza linafika Dar saa7 kwa nini hakuna route ndefu kidogo ya hapo?
Kwa mfano mabasi ya Dodoma( Mohammed Trans) hutoka Dar saa nane na kuingia Dodoma saa 3:30 usiku. Magari ya Tanga yanatoka saa 10 na kuingia Tanga saa3 usiku na Magari ya Moro ndo usiseme! Sasa kama mabasi yanayotoka Mtwara yanafika Dar saa7, kwa nini kusiwe na route ya Dar Moro?! Kama gari la Dodoma linafika Dar saa6:30, kwa nini hakuna route ya Dodoma/ Mtwara- Mtwara/ Dodoma!? Watu wanalazimishwa kulala Dar bila sababu ya msingi! Ni suala la Uthubutu tu lakini inawezekana! Changamoto kubwa ni jinsi ya kuvuka foleni ya Malori pale TAZARA na Ubungo. Lakini njia Mbadala zipo. Basi likipita Kisarawe au Kinyerezi kwa yale yanayounga moja kwa moja hamna foleni yoyote. Kipande cha vumbi pale Kinyerez hadi Mbezi Luis ni kilometa10 tu ambazo kwa basi ni dk25tu.
Matajiri wa kusini na Watanzania kwa ujumla wawe na uthubutu.
Au yule wa JM Luxury Coach ajaribu kwa kuwa anauzoefu wa route ndefu za Dar Mbeya. Nina uhakika watamek pesa. Kwa kuanzia trial route ya Mtwara-Moro kwanza,baadae Mtwara-Tanga, Mtwara-Dodoma na mwisho ni Mtwara- Iringa.
Kuna tajir alijaribu Songea Dodoma, alivyopiga hela tu sasa anaendelea!
yaani hili ni bonge la point
mwenyewe huwa nilikua nawaza sana kwa nini hiyo route isiwepo na gari zitafika mapema tu
mi nshaunga ntwara dom nlifika tmk nkachukua bodaboda nikaondoka na mohammedi ya mwisho ile ya saa tisa saa nne niko dom
ni idea nzuri sana hope wataifanyia kazi