Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

Nijambo jema sana kiukweli nimetokea kupapenda sana Mtwara,,,! Unajua kile kipande cha Somanga kimechukua muda sababu pale ni Bonde nadhani ndilo eneo watu walipokuwa wanakaa zaidi ya wk kipindi cha Masika,,!

Unapapenda Mtwara au umeoa Mtwara?
 

Nakubaliana na wewe kwa ubora wa magari na huduma katika mabasi ya JM Luxury. Nilisafiri kwa basi lao toka MTR-DSM mwezi August. Wakati tunaanza safari utangulizi wao ni kama ulivyoeleza ila kwa safari yetu walitueleza tutasafiri kwa masaa 8 tutapata chakula Nangurukuru na Ikwiriri. Mtwara tulitoka saa 1:30 asubuhi, saa 9:30 tulifika Mbagala na saa 9:45 alasiri tulikuwa Temeke mwisho.
Kwa ujumla mleta mada uko sahihi kabisa, kwani usafiri ule na hali hii ya leo kuna tofauti kubwa sana. Hivi sasa unaweza kupata chai ya asubuhi Mtwara, chakula cha mchana DSM na cha usiku, saa 2 ukapata Tanga, Morogoro, Dodoma, hata Iringa.
Mwenye picha za magari ya enzi zile kama MKARAMO, TAWAQAL, AMWENYE, SUPER CONCORD/MWAMBAO, KAWAMBWA, SOLLO SR & JR, MAKUTI na hata picha za meli kama MV LINDI, KILINDONI, MAPINDUZI, MAENDELEO, MS MTWARA, NK. atuwekee tujikumbushe. Ila pia tuwashukuru wenye yale magari maana kwa njia ile mtu kupeleka gari yako, yataka moyo.
 
Unapapenda Mtwara au umeoa Mtwara?

Ha ha haaa,,,,,,,Rafiki mi cjaoa nTWARA banaa,,,,,! Ila naupenda ule mji na vitongoji vyoke cz watu wakule ni wakarimu sana hawana majivuno sema labda hapo baadae wageni wengi wakiwa kule huenda ikachangia kuwa na watu wa Hovyo ila natamani cku moja niwe na makazi yakudumu asee,,,,!
 

WE JAMAA umetisha sana. inaonesha unaijua kusini vizuri sana
 
We vipi? hata barabara ingekua na basi milioni kama madereva wanafata sheria ajali inakua nadra sana kutokea,tatizo lenu wachaga mnalewa kama komba huku mnaendesha ndio maana mnaua ndugu zenu daily barabarani.

Laana unayoitafuta mtaipata tu... Kwa maneno hayo uliyotumia nakuhakikishia huu mwaka hautaisha bila kutokea ajali mbaya kwenye hiyo barabara, god forbid
 
Nikiwa bado nakula likizo yangu mkoani mtwara hii ni habari nyingine mzuri
Jana kulikuwa na shamra shamra za uzinduzi na mapokezi ya kivuko cha msangamkuu,hongereni sana wanaichi mjini mtwara na kule msanga mkuu ni wajibu wenu sasa kukitunza ili vizazi vyenu wakikute icho kivuko, nimekiona mwenyewe kw macho yangu n kivuko cha kisasa japokuwa kuna watu wanasema hii ni danganya toto ya kuwasahaulisha watu juu ya kipigo walichokipata wkt wa harkati za madai yao kuiomba serekali ya Jk isiisafarishe gas kwnda dar badala yake iwekezwe apa apa mkoani ili ku bust uchumi wa mkoa huu uliokuwa nyuma kbs kimaendeleo na kielimu pia
 

Asente
 


Kivuko kipya cha kwanza kwenda Msangamkuu kilizinduliwa rasmi jana tarehe 31/10/2014
 
Wameanza miaka miwili ago. Sisi wengine hatukuona kama ni habari kubwa hivi. Nyumbani Nachingwea lindi.
Muda sana mbona mambo yalishakuwa shwari tangia 2011...Haha kumbe wa home. Me pia kwetu steshen
 





Tatizo la usafiri kwenda mikoa ya Lindi na Mtwara, karibu litamalizika baada ya sehemu kubwa ya barabara kujengwa kwa kiwango cha lami.
 
Hahaha madam umeanzaaaaaa
 
Sikuhizi unaenda na kugeuza kaka. Mambo ya shabadirika. Sasa watu wanataka watafute wawekezaje zije speed boat za Mtwara kama za zenji vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…