Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

kuna lingine la kwenda Newala limeanza safari kama mwezi sasa lina hadi huduma ya internet ndani...
LEO LUXURY...
 
Ni kwa mara kwanza kusafiri na basi ambalo ni luxury kutokea Dar kwenda mkoa ule ambao miaka ya nyuma inasemekana ni mkoa uliosahaulika na ni sehemu ya adhabu kwa wafanyakazi wa serikali hii ya bongo.

Kichonikosha roho ni kuona basi hili likitoa huduma ambayo tulizoea kuziona kwenye njia za mikoa ile ya ukanda wa kaskazini, mwanzo kabisa wa safari wahudumu hujitambulisha kwa abiria wao, then kuwahabarisha utaratibu wa safari abiria wote kuhusu kufunga mkanda kwa usalama wetu, kutoa mifuko ya kuweka uchafu,utaratibu wa kuongea na muhudumu bila kubugudhi abiria mwezako, utaratibu wa kushuka kwenye gari,vinywaji baridi vya Azam. mwisho kumtanguliza Mungu kwenye safari.

Sasa kutokana hali hiyo nikakumbuka safari yangu ya 1995 kutoka huko Kusini kuja Dar ambao tulisafiri na lory kwa siku sita, usafiri mwingine ilikuwa meli siku mbili majini, duh Kusini tumetoka mbali.

mi nishasafiri na basi moja linaitwa MANING NICE kwenda mtwara na kurudi....nikirudi tena mtwara lazima nipande tena hili basi,kuna huo utaratibu wa kutangaza tena anatangaza binti mmoja mrembo sana,dereva wa siku hio alikuwa anaendesha mwendo wa kistaarabu sana hamna purukushani,ukiamua unaangali movie au kama mimi nilijisomea kitabu safari nzima....kama madereva wote wangeendesha kama huyu bwana mdogo ajali zingepungua sana
 
Ni kwa mara kwanza kusafiri na basi ambalo ni luxury kutokea Dar kwenda mkoa ule ambao miaka ya nyuma inasemekana ni mkoa uliosahaulika na ni sehemu ya adhabu kwa wafanyakazi wa serikali hii ya bongo.

Kichonikosha roho ni kuona basi hili likitoa huduma ambayo tulizoea kuziona kwenye njia za mikoa ile ya ukanda wa kaskazini, mwanzo kabisa wa safari wahudumu hujitambulisha kwa abiria wao, then kuwahabarisha utaratibu wa safari abiria wote kuhusu kufunga mkanda kwa usalama wetu, kutoa mifuko ya kuweka uchafu,utaratibu wa kuongea na muhudumu bila kubugudhi abiria mwezako, utaratibu wa kushuka kwenye gari,vinywaji baridi vya Azam. mwisho kumtanguliza Mungu kwenye safari.

Sasa kutokana hali hiyo nikakumbuka safari yangu ya 1995 kutoka huko Kusini kuja Dar ambao tulisafiri na lory kwa siku sita, usafiri mwingine ilikuwa meli siku mbili majini, duh Kusini tumetoka mbali.

Mkuu Mtwara naijuwa vizuri sana miaka ya 1999 kuja 2000 mwanzoni kusini kwa ujumla kulisahalika kwa wale wanao fahamu mtwara kwa ujumla awatabisha kwa hilo.Ila kwa sasa kidogo au tunaweza sema swala la usafiri kwa ujumla unaridhisha sijajuwa kama kile kipande cha km 60 kama kimekamilika chote.
 
Hivi huo ugonjwa Wa kusahau sahau mbona unakukabili kwa kasi namna hiyo? Hiyo ni kazi ya Mkapa na Magufuri (Rais mpendekezwa).

Kuna mkuu mmoja ameulizia kuhusu kipande cha 15kms kinajengwa sasa. Kwa uzoefu wangu wa barabara za Tanzania hii barabara ukiondoa baadhi ya sehemu kama Bonde la mto Rufiji na maeneo kadhaa ya Lindi ili jengwa kwa kiwango cha chini sana na ni nyembamba! Wananchi was kusini walidanganywa. Itabidi ijengwe upya kukabili traffic na magari mazito ambayo yameanza kutumia hii barabara. Mabasi standard kwa sasa kwenda Mtwara ni Manning Nice na kiasi fulani Machinga!
 
mkuu usiwasahau JM Luxury Coach
 
Mkuu hayo uliyotaja huwa napiga nayo trip yako poa
 
Mkuu Mtwara naijuwa vizuri sana miaka ya 1999 kuja 2000 mwanzoni kusini kwa ujumla kulisahalika kwa wale wanao fahamu mtwara kwa ujumla awatabisha kwa hilo.Ila kwa sasa kidogo au tunaweza sema swala la usafiri kwa ujumla unaridhisha sijajuwa kama kile kipande cha km 60 kama kimekamilika chote.

Mwaka 2007 nilienda Masasi...sehemu kubwa ya barabara ilikuwa inajengwa...yani tulitoka Dar asubuhi tukafika Masasi saa Mbili usiku...nilipanda Akida trans, siti mbovu...nilifika makalio yote hayafanyi kazi...
Ila siku hizi kitu Najma...saa nane mchana nivee kukayaaa ninkutauna ming'oko.....!
 
Kwa njia hiyo bila shaka unamaanisha JM Luxury Coach maana haya mengine mhhhhhhhh

C kweli hata kdogo kuna manings,but la zunguu,machinga,Na hili la sku hz cjui linaitwaga katiba mpya cjui big result now Ni noumaaaa chezea wabangua Korosho weye watakugesssssss it's my Home Land.. The place to run to in the new future I love so.it's gonna b the place to ends stress wait,live,and see
 
Mwaka 2007 nilienda Masasi...sehemu kubwa ya barabara ilikuwa inajengwa...yani tulitoka Dar asubuhi tukafika Masasi saa Mbili usiku...nilipanda Akida trans, siti mbovu...nilifika makalio yote hayafanyi kazi...
Ila siku hizi kitu Najma...saa nane mchana nivee kukayaaa ninkutauna ming'oko.....!

Yaani siku hizi unafika mapema, unakuta chipweng'e cha moto.
 
Dah! Afadhali kuendelee maana kuna walozamia mikoa mingine na wamepasahau nyumbani kabisa wala hawatak kurud. Mosh wapo weng
 
Ni kwa mara kwanza kusafiri na basi ambalo ni luxury kutokea Dar kwenda mkoa ule ambao miaka ya nyuma inasemekana ni mkoa uliosahaulika na ni sehemu ya adhabu kwa wafanyakazi wa serikali hii ya bongo.

Kichonikosha roho ni kuona basi hili likitoa huduma ambayo tulizoea kuziona kwenye njia za mikoa ile ya ukanda wa kaskazini, mwanzo kabisa wa safari wahudumu hujitambulisha kwa abiria wao, then kuwahabarisha utaratibu wa safari abiria wote kuhusu kufunga mkanda kwa usalama wetu, kutoa mifuko ya kuweka uchafu,utaratibu wa kuongea na muhudumu bila kubugudhi abiria mwezako, utaratibu wa kushuka kwenye gari,vinywaji baridi vya Azam. mwisho kumtanguliza Mungu kwenye safari.

Sasa kutokana hali hiyo nikakumbuka safari yangu ya 1995 kutoka huko Kusini kuja Dar ambao tulisafiri na lory kwa siku sita, usafiri mwingine ilikuwa meli siku mbili majini, duh Kusini tumetoka mbali.

Aisee,mwenyewe last week nmetumia njia hiyo kwenda dar. Safar ilikuwa murwa kabisa. Nilipanda bus la #JM .

Very nice journey at all.
 
aise umeona eeh kweli kizuri chajiuza kibaya chajitembeza, hawa jamaa mi ata cwajui lkn nimetokea kuwa fill kinoma, nilipewa siti ya mwisho kbs dirishani lkn nimefika mtwara km vile nimeenda boing 737 kwa elfu 25 tu
 
Back
Top Bottom