First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475
kuna lingine la kwenda Newala limeanza safari kama mwezi sasa lina hadi huduma ya internet ndani...
LEO LUXURY...
LEO LUXURY...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa njia hiyo bila shaka unamaanisha JM Luxury Coach maana haya mengine mhhhhhhhh
Ni kwa mara kwanza kusafiri na basi ambalo ni luxury kutokea Dar kwenda mkoa ule ambao miaka ya nyuma inasemekana ni mkoa uliosahaulika na ni sehemu ya adhabu kwa wafanyakazi wa serikali hii ya bongo.
Kichonikosha roho ni kuona basi hili likitoa huduma ambayo tulizoea kuziona kwenye njia za mikoa ile ya ukanda wa kaskazini, mwanzo kabisa wa safari wahudumu hujitambulisha kwa abiria wao, then kuwahabarisha utaratibu wa safari abiria wote kuhusu kufunga mkanda kwa usalama wetu, kutoa mifuko ya kuweka uchafu,utaratibu wa kuongea na muhudumu bila kubugudhi abiria mwezako, utaratibu wa kushuka kwenye gari,vinywaji baridi vya Azam. mwisho kumtanguliza Mungu kwenye safari.
Sasa kutokana hali hiyo nikakumbuka safari yangu ya 1995 kutoka huko Kusini kuja Dar ambao tulisafiri na lory kwa siku sita, usafiri mwingine ilikuwa meli siku mbili majini, duh Kusini tumetoka mbali.

You make nice jokes too. Respect to you.Inabidi tumkumbuke Kikwete.
Hivi huo ugonjwa Wa kusahau sahau mbona unakukabili kwa kasi namna hiyo? Hiyo ni kazi ya Mkapa na Magufuri (Rais mpendekezwa).
Kuna mkuu mmoja ameulizia kuhusu kipande cha 15kms kinajengwa sasa. Kwa uzoefu wangu wa barabara za Tanzania hii barabara ukiondoa baadhi ya sehemu kama Bonde la mto Rufiji na maeneo kadhaa ya Lindi ili jengwa kwa kiwango cha chini sana na ni nyembamba! Wananchi was kusini walidanganywa. Itabidi ijengwe upya kukabili traffic na magari mazito ambayo yameanza kutumia hii barabara. Mabasi standard kwa sasa kwenda Mtwara ni Manning Nice na kiasi fulani Machinga!

Kusini kucheleeeeee,home sweet home
Mkuu Mtwara naijuwa vizuri sana miaka ya 1999 kuja 2000 mwanzoni kusini kwa ujumla kulisahalika kwa wale wanao fahamu mtwara kwa ujumla awatabisha kwa hilo.Ila kwa sasa kidogo au tunaweza sema swala la usafiri kwa ujumla unaridhisha sijajuwa kama kile kipande cha km 60 kama kimekamilika chote.
.......Wee bibi utakuwa unaumwa sio bure. Kikwete kafanya nini, ndo mwenye gari au dereva?Inabidi tumkumbuke Kikwete.
Kwa njia hiyo bila shaka unamaanisha JM Luxury Coach maana haya mengine mhhhhhhhh
Mwaka 2007 nilienda Masasi...sehemu kubwa ya barabara ilikuwa inajengwa...yani tulitoka Dar asubuhi tukafika Masasi saa Mbili usiku...nilipanda Akida trans, siti mbovu...nilifika makalio yote hayafanyi kazi...
Ila siku hizi kitu Najma...saa nane mchana nivee kukayaaa ninkutauna ming'oko.....!
Ni kwa mara kwanza kusafiri na basi ambalo ni luxury kutokea Dar kwenda mkoa ule ambao miaka ya nyuma inasemekana ni mkoa uliosahaulika na ni sehemu ya adhabu kwa wafanyakazi wa serikali hii ya bongo.
Kichonikosha roho ni kuona basi hili likitoa huduma ambayo tulizoea kuziona kwenye njia za mikoa ile ya ukanda wa kaskazini, mwanzo kabisa wa safari wahudumu hujitambulisha kwa abiria wao, then kuwahabarisha utaratibu wa safari abiria wote kuhusu kufunga mkanda kwa usalama wetu, kutoa mifuko ya kuweka uchafu,utaratibu wa kuongea na muhudumu bila kubugudhi abiria mwezako, utaratibu wa kushuka kwenye gari,vinywaji baridi vya Azam. mwisho kumtanguliza Mungu kwenye safari.
Sasa kutokana hali hiyo nikakumbuka safari yangu ya 1995 kutoka huko Kusini kuja Dar ambao tulisafiri na lory kwa siku sita, usafiri mwingine ilikuwa meli siku mbili majini, duh Kusini tumetoka mbali.
Aisee,mwenyewe last week nmetumia njia hiyo kwenda dar. Safar ilikuwa murwa kabisa. Nilipanda bus la #JM .
Very nice journey at all.