Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

Usafiri wa Dar - Mtwara umenikosha roho

Tutajie jina la hilo basi tupunguze mzigo wa gharama za anga kwa serikali. Napenda sana kununua vitu vya machinga wakati angani ni ishu
 
Yaani nikikumbuka vituko vyake.
Siku moja tulienda kwake saa 9 usiku tukiwa na mawe, tukapiga dirisha la chumbani kwake....vioo vyote chini, ile tunakimbia tu, mwenzetu mmoja akaangukia mtaroni akateguka mguu.
Ilibidi tumbebe juu juu huku tukisaidiana.
Tulimuuguza wenyewe mpaka alipona....hivi angeoza mguu sijui ingekuwaje.
Nyie mabinti ni shida sana...Kwa Mama Amon kule sio...lololll
 
Pande za Ligula, Shangani (kuna fukwe nzuri sana huku), Magomeni (hapa kuna klabu moja ya pombe chafu nilikuwa naenda sana kulewa)....maeneo ya Msangankuu....

Mtwara iko bomba sana.
Duh mkk NN umetisha...Jana kimekuja kivuuko kippyaaaaaaaaaa Nsangamkuu, ntaweka picha zake badae kidogo!! Ngoja nikakipige mtasa
 
acha kuzungumzia ajali kbsaa na ata usiombe, vilevile mabasi ya kaskazini yameshajisahau wachaga wale wakishapokea ela yako, hawamkumbuki tena mungu wao wako busy na kuakikisha kama tiketi zote zimelipiwa.
na hii ndio kitu kilifanya nipost topic hii kwa wana jamii kwa kuona condactor anamjali abiria wake na kuwata wamtangulize mungu wao ili awafikishe salama,
sasa bac kutokea kwenye usafiri usiokuwa na uwakika hadi kufikia usafiri bora hatua ya kujivunia jaman,
tuwatie moyo awa jamaa ili wazidishe maarifa
Sasa unafananisha barabara yenye basi 5 na barabara yenye basi 100?? Kwani Ajali zinatokeaga barabara ya Kaskazini tu?? Unafananisha ubusy wa barabara za Kaskazini na Kusini??
 
Kipande cha km 15 kimewashinda mwaka wa 8 sasa!

Si wana Mtwara wanaojenga ni serikali na serikali wanakiachia makusudi kile kipande kwa ajili ya uchaguzi. Yaani akili za CCM ni za kise.nge sana.
 
Hingera jk na magufuri kwa kuwakumbuka watu wa kusini. Tukumbukeni na sisi wakiteto, safari ya kutoka dar mpaka kiteto kipande cha kuanzia runch ya nacompaka kiteto nasi tuwekewe rami.

Nini jk bwana tupa kule mkwe.re huyo hana anacho jua.
 
Sasa unafananisha barabara yenye basi 5 na barabara yenye basi 100?? Kwani Ajali zinatokeaga barabara ya Kaskazini tu?? Unafananisha ubusy wa barabara za Kaskazini na Kusini??

We vipi? hata barabara ingekua na basi milioni kama madereva wanafata sheria ajali inakua nadra sana kutokea,tatizo lenu wachaga mnalewa kama komba huku mnaendesha ndio maana mnaua ndugu zenu daily barabarani.
 
kikwete kaifanyia nini kusini zaidi ya kutuletea wanajeshi watuvunje viuno? hiyo kazi ni efforts za Mkapa super,alfa na omega president wa Tanzania.

Macho unayo lakini hayaoni, masikio unayo lakini hayasikii.

Mkapa huyuhuyu aliyejimilikisha Kiwira? au mwingine?
 
kwa kile kipande kilichobaki ni kidogo sana na wala akialibu ratiba ya mabus, na ndio maana sasa ivi yako mabus yanaanza safari saa 10:00 asubui kutoka mtwara na yanaingia dar jioni
kwa iyo ni tuseme ni kama vile barabara imeisha / asante sana baba mkapa,asante sana wahisani waliotusaidia watu wa kusini mungu awaongezee maisha marefu, lakini gas yetu wanachukua
 
Usinikumbushe Nyani Ngabu, mie nilikuwa naishi Indian Quarters kwa washua.
Ukituchokoza, ugomvi wake wanakuja kusuluhisha wazazi wakirudi job

ahaaaa kumbe we mtoto wa ugali mboga nane?!!
siku hizi mangowela ndo kwenye mijengo ya ukwee
 
Last edited by a moderator:
ahaaaa kumbe we mtoto wa ugali mboga nane?!!
siku hizi mangowela ndo kwenye mijengo ya ukwee

.....Nimelelewa kwenye mboga nane lakini moyo wangu mgumu na nunda kama chuma cha mjerumani.
Nimefukuzwa Sabasaba, Mtwara girls ndo nikahamia Dar.
Nilikuwa sikamatiki kwa utemi.
Bila wazazi kunidhibiti, nahisi ningekuwa jambazi sugu la kike leo hii....
 
Aliyeamua makazi yake ya kustaafu yawe Lushoto na si Ntwara?

Huo ni uzushi mkapa haishi lushoto wala nini,ongea vitu kwa fact sio una okoteza maneno ya vilabuni,Mkapa ana nyumba lushoto ujio wake lushoto kwa mwaka hata mara nne haifiki na istoshe hawezi kukaa zaid ya siku mbili...
 
kikwete kaifanyia nini kusini zaidi ya kutuletea wanajeshi watuvunje viuno? hiyo kazi ni efforts za Mkapa super,alfa na omega president wa Tanzania.
mkuu nisaidie bus zuri and at least reliable linalokwenda Newala? Nategemea kufika huko next week,please
 
imebaki km 1 kukamilika

Nijambo jema sana kiukweli nimetokea kupapenda sana Mtwara,,,! Unajua kile kipande cha Somanga kimechukua muda sababu pale ni Bonde nadhani ndilo eneo watu walipokuwa wanakaa zaidi ya wk kipindi cha Masika,,!
 
kwa kile kipande kilichobaki ni kidogo sana na wala akialibu ratiba ya mabus, na ndio maana sasa ivi yako mabus yanaanza safari saa 10:00 asubui kutoka mtwara na yanaingia dar jioni
kwa iyo ni tuseme ni kama vile barabara imeisha / asante sana baba mkapa,asante sana wahisani waliotusaidia watu wa kusini mungu awaongezee maisha marefu, lakini gas yetu wanachukua

Machinga wana GARI hadi ya saa6 mchana unafika DAR or MT saa 2ucku
 
Back
Top Bottom