Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,455
- 5,134
Mabasi ya kutoka Mbeya hasa yanayosafiri Usiku hayafuati ratiba ya safari, kwa mfano kuna siku nilipanda basi kutoka Mbeya kwenda Morogoro walisema linaondoka Saa 12:00 Jioni ila tuliondoka Saa 2:00 Usiku pale Stendi Kuu.
Tulipofika Uyole wakapaki tukaondoka Saa tano Usiku kwa hiyo wanatuchelewesha sana.
Pia, jambo lingine ni mfumo wa tiketi ukienda ofisini wanakupa tiketi za karatasi mkianza safari wanakusanya tiketi zote za karatasi na bado hupewi tiketi za machine.
Sasa imekuwa kawaida nimeona kwenye basi la Rungwe wakati naenda Morogoro na wakati natoka Mkoani Morogoro nilipanda Basi la New Force utaratibu ni huohuo.
Tunapata mashaka na uhakika wa safari za usiku kwa kuwa pia kuna baadhi ya madereva wanakuwa wapo ‘high’, ikiwezekana ukaguzi ufanyike kuwapima viwango vya ulevi