Usafiri wa mbuzi kutoka mnadani kwenda Dar

Habari za majukumu wakuu

Naomba kufahamu usafiri wa kusafirisha mbuzi kutoka minada hii simiyu ...kondoa ....na kilosa je nitapata ya jumuia au itanilazimu kuwa na usafiri binafsi?
Hongera sna kwa uthubutu huu wakujitengenezea kipato, kwanza naomba kujua unataka kuwa beba kwa idadi ipi? pili Mbuzi kushuka 5 waweza wapakia kwenye gari ya kawaida lakini uwe umechukuwa kibali cha mifugo toka kwa Bwana Mifugo wa wilaya husika kuonyesha unawatoa sehemu moja kwenda ingine.
Kama utawabeba wengi basi huko minadani unapata magari yanayo beba mifugo na kuwapata vijana wa uangalizi hao unawakodisha wewe, wao jukumu lao ni kukaa kwenye bodi na mifugo yako njia nzima huku wakiitizama isikanyagane wasije kufa na wafike salama. Hapo utahitajika uwe na vibali vya kutoka kwa bawana mifugo hapo hapo mnadani utapata, ushuru wa halmashauri, na kibali cha Tanroad wanakiita kibali cha miguu kina lipiwa kama sikosea elfu 22 na kinaonyesha rout utakayo pita, hiki ni kwa magari yanayo aznia tani 3 na robo kwenda juu yanayo pimwa ktk mizani za bara bara kuu zilizo chini ya Tanroad.
 
Natarajia kubeba mbuzi 30
 
Unajua hili swali la Bei ni swali Muhimu sana.Nafikiri hii ni Fursa ya Biashara Ni kutafuta tu Solution.Ngoja Nifanye Utaratibu Tuweke mambo sawa.
 
Hongera sna kwa uthubutu huu wakujitengenezea kipato, kwanza naomba kujua unataka kuwa beba kwa idadi ipi? pili Mbuzi kushuka 5 waweza wapakia kwenye gari ya kawaida lakini uwe umechukuwa kibali cha mifugo toka kwa Bwana Mifugo wa wilaya husika kuonyesha unawatoa sehemu moja kwenda ingine.
Kama utawabeba wengi basi huko minadani unapata magari yanayo beba mifugo na kuwapata vijana wa uangalizi hao unawakodisha wewe, wao jukumu lao ni kukaa kwenye bodi na mifugo yako njia nzima huku wakiitizama isikanyagane wasije kufa na wafike salama. Hapo utahitajika uwe na vibali vya kutoka kwa bawana mifugo hapo hapo mnadani utapata, ushuru wa halmashauri, na kibali cha Tanroad wanakiita kibali cha miguu kina lipiwa kama sikosea elfu 22 na kinaonyesha rout utakayo pita, hiki ni kwa magari yanayo aznia tani 3 na robo kwenda juu yanayo pimwa ktk mizani za bara bara kuu zilizo chini ya Tanroad.
Mkuu mbuzi au mbwa unaweza kumuweka kwenye buti la gari na asife? Nahitaji kufahamu tafadhari.
 
Kanyaga twende piga kazi. Na kuakikishia faida ipo.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom