Nina BMW X4jf wote si mna gari tena BMW na mazda cx 5
Weume muulizia huku unamkanyagia tenaHakuna kitu kibaya kama kuongozwa na Rais mzembe mzembe asiyejitambua
Tegemea kila kitu kukwama
Utawasikia mitano tenaWakati basi za mwendokasi zinaingia Dar es salaam tulijua italeta ahueni kwenye swala la usafiri wa Umma,
lakini yameleta mateso afadhali ya Daladala mara mia!
Hivi hii inatokana na nini?
Uhaba wa mabasi?
Ratiba za mabasi zisizo tabirika?
Au shida ni nini?View attachment 3412138
Aaah wapi wabongo wanapenda mshengeto wa mbanano tuWakati basi za mwendokasi zinaingia Dar es salaam tulijua italeta ahueni kwenye swala la usafiri wa Umma,
lakini yameleta mateso afadhali ya Daladala mara mia!
Hivi hii inatokana na nini?
Uhaba wa mabasi?
Ratiba za mabasi zisizo tabirika?
Au shida ni nini?View attachment 3412138
Sema tu huna hela ya service bhna 😂😂 usitupangeMimi binafsi sitaki kununua gari sababu barabara na miundombinu haiko sawa.
Barabara zikiwa nzuri nitanunua