KERO Responded Usafiri wa Mwendokasi umekuwa kero, afadhali ya Daladala!

KERO Responded Usafiri wa Mwendokasi umekuwa kero, afadhali ya Daladala!

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wakati basi za mwendokasi zinaingia Dar es salaam tulijua italeta ahueni kwenye swala la usafiri wa Umma,
lakini yameleta mateso afadhali ya Daladala mara mia!
Hivi hii inatokana na nini?
Uhaba wa mabasi?
Ratiba za mabasi zisizo tabirika?
Au shida ni nini?View attachment 3412138
Ni kuboresha majiji kama Mwanza, Dom, Arusha ili kuipunguzia Dar population

Ajabu kuna vihiyo wanakosoa kuhamishia makao makuu Dodoma,

Hapo kuna jam kubwa tuu linatakiwa liende Dodoma.

Vyuo vipya vinavyojengwa visijengwe tena Dar

Weka viwanda vipya nje kabisa ya Dar

Soko kama kariakoo lijengwe morogoro nk watu wanaotoka mikoa mingine wakachuuzie pale
 
Hakika umenena mkuu
 
Magari ya mwendokasi mengi yameshaharibika yanayofanya kazi ni machache
 
Mwendokasi ni mtaji huo wa watawala. Kanuni ni ile ile "Tengeneza tatizo kisha litatue"
Na ndicho wanachofanya. Hiyo kero ni ya kutengeneza ili ikikaribia kampeni watoe bus mpya watu waone kuna unafuu na serikali ya ccm inawajali then baada ya uchaguzi mkuu wa mchongo kupita mambo yanarudi kama mwanzo.

Kuna miradi mingi ilitakiwa iwe imekamilika ila inaachwa hadi kampeni zikaribie wawadanganye wajinga kuwa wanafanya kazi.
 
Back
Top Bottom