KERO Responded Usafiri wa Mwendokasi umekuwa kero, afadhali ya Daladala!

KERO Responded Usafiri wa Mwendokasi umekuwa kero, afadhali ya Daladala!

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Uyo mwamba mwenye kofia anaonekana kabisa ni mwizi.
Ulitaka avae suti na tai kama wewe ili asionekane mwizi!? Wezi wanaoumiza Taifa wako maofisini wavaa suti na tai na magari mnayonunua kwa kodi zenu wanatembelea nayo na wanawapita kwenye foleni kwa misafara.
 
Back
Top Bottom