KERO Responded Usafiri wa Mwendokasi umekuwa kero, afadhali ya Daladala!

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Naomba usinihusishe kwenye copyrights za majina πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mie na Joannah hatuna SHIDO kabisaaaaa na haya majina, in fact kuna wakati nilikuwa nafurahi watu wanavyotuchanganya

Labda huyo wa kwako na yeye hakujua kama ipo ID kama yako...labda 🀣
Mimi wala sina shida,tatizo nawapenda wote wawili,nisije siku moja nikajichanganya nikafikiri huyu ndio yule,au yule ndio huyu.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hakika, kiongozi kama hayuko timamu "Kimajukumu" basi tarajia mambo mengi kuharibika.
Ina maana huyo kiongozi haoni tatizo na mwendokasi? Au hamna waziri anayehusika? Au basi waziri wa Afya akataze wananchi kurundikwa hivyo. Dar kweli kuna shida. by the way, hivi wananchi wakigomea mwendokasi wakatembea ni nini kitatokea?
 
Viongozi wote wanaona hilo tatizo mkuu.
Viongozi wenye dhamana hawachukui hatua yoyote, tufanye nini?
Wananchi kugomea mwendokasi ni ngumu, haiwezekani.
Labda yafanyike maadnamano (mgomo kama ulivyosema) kushinikiza huduma za usafiri wa mwendokasi ziboreshwe.

Ni mawazo tu mkuu, viongozi wenye dhamana wakiziba masikio tutaishia kupiga soga kama hivi.
 
Dar haina hata watu wengi mzee, watu milioni 6 tu wakati kuna miji INA watu milioni 50 na mambo yana run vizuri tu.....unajua wanatumia usafiri gani? Treni, treni ni bei nafuu na ngumu kuharibika kuliko haya mabasi mayai, aliyejenga njia ya mwendokasi angejenga reli tatizo lisingekuwepo
Teknolojia hatuna, tusipoboresha majiji mengine hata hizo treni zitakua kama zile za Bagladesh
 
Bangladesh
images (31).jpeg
 
Uhaba wa mabasi?
Yapo 60 tu, kwa huduma hio mabasi yanabidi yawe sio chini ya 250 na yafanye kazi kila siku maana watu ni wengi na wengi wanapenda maisha ya kitonga usafiri wa mwendokasi nauli kitonga sio km Daladala, wakati kutoka Mbezi mpaka Mnazi Mmoja ni 800 huku kwenye mwendokasi nauli 500 tu, sasa kitonga wengi wanakimbilia kwenye mwendokasi kusevu 300 ila ingekua nauli 1000 au 1500 kutoka Mbezi mpaka Mnazi Mmoja wengi wangekimbilia kwenye Daladala ambako nauli yake ni 800 tu

Ushauri wangu wakitaka watu wazikimbie mwendokasi wasipande na wasijazane wapandishe nauli iwe at least kwa kila kichwa 2000 kituo mpaka kituo. Hautoona watu wamejazana hivyo kwanza mwendokasi itakua ni usafiri wa wenye hadhi classic sio nalulonya
 
π•„π•¨π•–π•Ÿπ••π• π•œπ•’π•€π•š π•šπ•π•šπ•œπ•¦π•›π•’ π•œπ•¦π•¨π•’ π•žπ•œπ• π•žπ•“π• π•«π•š π•žπ•œπ•¦π•¦.
π•‚π•¦π•‘π•’π•Ÿπ••π•šπ•€π•™π•’ π•“π•–π•š π•šπ•¨π•– π•œπ•’π•žπ•’ 𝔹𝕠𝕝π•₯?
 
Hapa umeandika uwongo. Nahisi either wewe upo mikoani au unapotosha. Nauli ya mwendokasi ni 1250 kutoka Mbezi hadi kariakoo. So mwendokasi ni ghali. Changamoto ya mwendokasi ni kuwa na wafanyakazi wengi wasio na tija. Wangefanya tununue ticket kama luku ingeondoa msururu wa wakata tiketi na ujenzi wa vibanda barabarani.
 
Tanzania ndio sehemu pekee Dunia nzima ambapo biashara inakufa kisa tu Ina Wateja wengi
🀣🀣🀣🀣🀣 π•€π•šπ•ͺ𝕠 𝕑𝕠𝕒 π•žπ•œπ•¦π•¦
 
Hapa umeandika uwongo. Nahisi either wewe upo mikoani au unapotosha. Nauli ya mwendokasi ni 1250 kutoka Mbezi hadi kariakoo. So mwendokasi ni ghali. Changamoto ya mwendokasi ni kuwa na wafanyakazi wengi wasio na tija. Wangefanya tununue ticket kama luku ingeondoa msururu wa wakata tiketi na ujenzi wa vibanda barabarani.
Ndio nimesema hio 1250 ni ndogo sana inabidi iwe at least 2000 au 3000 mpaka 4000 uone km watu watakimbilia mamwendokasi, 500 nilitoa km mfano sio nauli halisi uwe unaelewa tofauti ya mfano na uhalisia
 
π•„π•¨π•–π•Ÿπ••π• π•œπ•’π•€π•š π•šπ•π•šπ•œπ•¦π•›π•’ π•œπ•¦π•¨π•’ π•žπ•œπ• π•žπ•“π• π•«π•š π•žπ•œπ•¦π•¦.
π•‚π•¦π•‘π•’π•Ÿπ••π•šπ•€π•™π•’ π•“π•–π•š π•šπ•¨π•– π•œπ•’π•žπ•’ 𝔹𝕠𝕝π•₯?
Mwendokasi nauli iongezwe ili watu wasibanane km nyanya, vitunguu, tikiti maji au parachichi za Mbeya, nauli kitonga ndio inafanya watu wanabinyana kwenye mwendokasi napendekeza nauli isiwe chini ya 2500 kituo mpaka kituo yaan at least 3000 mpaka 4000 kwa kichwa hapo lazima watu wahamie kwenye usafiri mwingine wa kawaida itapendeza sasa mwendokasi uwe usafiri wa watu classic sio waokota machupa ya maji
 
ℍ𝕦𝕦 𝕀𝕒𝕀𝕒 π•¦π•“π•’π•˜π•¦π•«π•š π•žπ•œπ•¦π•¦! π•“π•šπ•π•’ π•€π•™π•’π•œπ•’ π•¦π•€π•’π•—π•šπ•£π•š π•”π•π•’π•€π•€π•šπ•” π•¦π•€π•šπ•  π•Ÿπ•’ π•™π•–π•œπ•’π•™π•–π•œπ•’ 𝕦𝕑𝕠 (𝕦𝕓𝕖𝕣 𝕓𝕠𝕝π•₯, π•—π•’π•£π•’π•€π•š π•Ÿ.π•œ)
 
Ndio nimesema hio 1250 ni ndogo sana inabidi iwe at least 2000 au 3000 mpaka 4000 uone km watu watakimbilia mamwendokasi, 500 nilitoa km mfano sio nauli halisi uwe unaelewa tofauti ya mfano na uhalisia
π•€π•–π•£π•šπ• π•¦π•€ π•žπ•œπ•¦π•¦?
 
Back
Top Bottom