hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
🤣🤣Uyo mwamba mwenye kofia anaonekana kabisa ni mwizi.
🤣🤣Uyo mwamba mwenye kofia anaonekana kabisa ni mwizi.
🤣🤣 OyaaaAlafu mkikaa vijiweni mnasema IST sio gari
Mateso sanaWakati basi za mwendokasi zinaingia Dar es salaam tulijua italeta ahueni kwenye swala la usafiri wa Umma,
lakini yameleta mateso afadhali ya Daladala mara mia!
Hivi hii inatokana na nini?
Uhaba wa mabasi?
Ratiba za mabasi zisizo tabirika?
Au shida ni nini?View attachment 3412138
Hiyo inafahamika na zimecheleweshwa ili wazifanyie siasa.Kuna basi mpya 99 nimeona taarifa kwamba zimeagizwa.
Nilipika Usiku Sasa namalizia asubuhi hii.
Wewe wa kishua nikiagiza "Soseji na Baga " nitakukaribisha
Joannah Joanah JOANNANaomba usinihusishe kwenye copyrights za majina 😂😂😂
Mie na Joannah hatuna SHIDO kabisaaaaa na haya majina, in fact kuna wakati nilikuwa nafurahi watu wanavyotuchanganya
Labda huyo wa kwako na yeye hakujua kama ipo ID kama yako...labda 🤣
Mwendokasi ilikuwa kero tangia kipindi cha Magufuli..Hakuna kitu kibaya kama kuongozwa na Rais mzembe mzembe asiyejitambua
Tegemea kila kitu kukwama
za kampeniHiyo inafahamika na zimecheleweshwa ili wazifanyie siasa.
Mwendokasi ilikuwa kero tangia kipindi cha Magufuli znchi inaongozwa na mtu wa Pwani u-serious utoke wapi?
Dar haina hata watu wengi mzee, watu milioni 6 tu wakati kuna miji INA watu milioni 50 na mambo yana run vizuri tu.....unajua wanatumia usafiri gani? Treni, treni ni bei nafuu na ngumu kuharibika kuliko haya mabasi mayai, aliyejenga njia ya mwendokasi angejenga reli tatizo lisingekuwepoNi kuboresha majiji kama Mwanza, Dom, Arusha ili kuipunguzia Dar population
Ajabu kuna vihiyo wanakosoa kuhamishia makao makuu Dodoma,
Hapo kuna jam kubwa tuu linatakiwa liende Dodoma.
Vyuo vipya vinavyojengwa visijengwe tena Dar
Weka viwanda vipya nje kabisa ya Dar
Soko kama kariakoo lijengwe morogoro nk watu wanaotoka mikoa mingine wakachuuzie pale
Kwa Tanzania hata hizo treni zitahujumiwa mkuu.Dar haina hata watu wengi mzee, watu milioni 6 tu wakati kuna miji INA watu milioni 50 na mambo yana run vizuri tu.....unajua wanatumia usafiri gani? Treni, treni ni bei nafuu na ngumu kuharibika kuliko haya mabasi mayai, aliyejenga njia ya mwendokasi angejenga reli tatizo lisingekuwepo
Treni kama lile la MwakyembeKwa Tanzania hata hizo treni zitahujumiwa mkuu.
Ni lini usafiri dar haujawai kukwama ili tuone ni uzembe wa rais wa sasa?.Na wakati huo nyie wananchi ambao sio wazembe mnakua wapi au ndio mnakaa kusubiri rais awe majibu ya kila changamoto na kulalamika.Rais hawezi kua majibu au mfumbuzi wa kila kitu ata kama wewe leo ukawa ndio rais.Tatizo sio la rais tatizo ni la wananchi kukaa nakusubiri kulaumu rais ata kwa mambo ambayo wao wenyewe wanaweza kuyarekebisha.Kwa fikra ulizonazo wewe ata leo ukiwa rais hakuna utakachokiweza kwasababu unawaza katika mtu nasio mfumo.Hakuna kitu kibaya kama kuongozwa na Rais mzembe mzembe asiyejitambua
Tegemea kila kitu kukwama