KERO Responded Usafiri wa Mwendokasi umekuwa kero, afadhali ya Daladala!

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Na ndicho wanachofanya. Hiyo kero ni ya kutengeneza ili ikikaribia kampeni watoe bus mpya watu waone kuna unafuu na serikali ya ccm inawajali then baada ya uchaguzi mkuu wa mchongo kupita mambo yanarudi kama mwanzo.

Kuna miradi mingi ilitakiwa kuwa imekamilika ila inaachwa hadi kampeni zikaribie wawadanganye wajinga kuwa wanafanya kazi.
Kuna basi mpya 99 nimeona taarifa kwamba zimeagizwa.
 
Wakati basi za mwendokasi zinaingia Dar es salaam tulijua italeta ahueni kwenye swala la usafiri wa Umma,
lakini yameleta mateso afadhali ya Daladala mara mia!
Hivi hii inatokana na nini?
Uhaba wa mabasi?
Ratiba za mabasi zisizo tabirika?
Au shida ni nini?View attachment 3412138
Tuvumilie kidogo tu mambo mazuri yanakuja
 
Wakati basi za mwendokasi zinaingia Dar es salaam tulijua italeta ahueni kwenye swala la usafiri wa Umma,
lakini yameleta mateso afadhali ya Daladala mara mia!
Hivi hii inatokana na nini?
Uhaba wa mabasi?
Ratiba za mabasi zisizo tabirika?
Au shida ni nini?View attachment 3412138
Picha kama hizi zamani ilizoeleka kwa magari ya Gongo la mboto na Mbagala

Siku hizi zipo kwenye miundombinu, mwendokasi imekufa vibaya sana
 
Ni

Ni janga lisiloisha mkuu.
Nimesikia tetesi Kwamba inataka ijengwe railway za juu kwa usafiri hapa mjini
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Wakati basi za mwendokasi zinaingia Dar es salaam tulijua italeta ahueni kwenye swala la usafiri wa Umma,
lakini yameleta mateso afadhali ya Daladala mara mia!
Hivi hii inatokana na nini?
Uhaba wa mabasi?
Ratiba za mabasi zisizo tabirika?
Au shida ni nini?View attachment 3412138
kila siku nawaambia haya mambo ni ya WAZUNGU......sisi zetu ngoma
 
Back
Top Bottom