KERO Responded Usafiri wa Mwendokasi umekuwa kero, afadhali ya Daladala!

KERO Responded Usafiri wa Mwendokasi umekuwa kero, afadhali ya Daladala!

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Sisi mambo ya ustaarabu bado sana
Linha_Verde_Curitiba_BRT_02_2013_Est_Marechal_Floriano_5978.jpg
 
Kuna muda unaona SIO kesi ACHA TU NIPIGE one two na HELA imo mfukoni inaumiza SANA ILA NASIKIA basi MPYA zishakuja tuwe na subra.

Bro Alex on da beats
 
Kuna muda unaona SIO kesi ACHA TU NIPIGE one two na HELA imo mfukoni inaumiza SANA ILA NASIKIA basi MPYA zishakuja tuwe na subra.

Bro Alex on da beats
Zimeagizwa basi 99, ni Kwa ajili ya njia mpya bila shaka. Siyo njia za zamani
 
Kuna muda unaona SIO kesi ACHA TU NIPIGE one two na HELA imo mfukoni inaumiza SANA ILA NASIKIA basi MPYA zishakuja tuwe na subra.

Bro Alex on da beats
Kuna muda una kutana na tipa la mchanga limebeba laia SASA unajiuloza dereva akijisahau akabinua SI majanga haya. Una amua kusikitika na kuondoka MANA WAO wenyewe hawaja taka mabadiliko wakipata akili yatakwisha nawambia.

Usinikumvushe kigamboni tumeenda Cheka huko ndani ndani muda wa kurudi usiku hakuna gari. Ikatubeba kirikuu kama viazi.
 
Lazima uwe hivyo maana badala ya kuongeza mabasi, mkurugenzi (Kihamia watu wa Arusha na Rombo mnamjua vizuri) amejinunulia mabasi mawili ya abiria yanapishana DAR -KOROGWE-DINDIRA (kwefingo) na jingine linatoka DINDIRA(kwefingo) -KOROGWE - DAR ES SALAAM hususan MBAGALA.
NAULI NI 25,000
KILA SIKU YAPO BARABARANI Huku walengwa mkipandia madirishani.
 
Huyo sio Mimi Mkuu,ni mtu tu alikosa ubunifu akaamua kucopy ID yangu,

Ni kama Joannah alivyocopy ID ya Joanah

😀 😀

Naomba usinihusishe kwenye copyrights za majina 😂😂😂
Mie na Joannah hatuna SHIDO kabisaaaaa na haya majina, in fact kuna wakati nilikuwa nafurahi watu wanavyotuchanganya

Labda huyo wa kwako na yeye hakujua kama ipo ID kama yako...labda 🤣
 
Usinikumvushe kigamboni tumeenda Cheka huko ndani ndani muda wa kurudi usiku hakuna gari. Ikatubeba kirikuu kama viazi.
Pole mkuu NDO nchi yetu ILIVO🇹🇿🙏🙏🙏

Bro Alex on da beats
 
Back
Top Bottom