Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Tahmeed seat zake zina nafasi kubwa ya mguuni na ukilaza zina lala nafasi kubwa bila kuleta karaha kwa abiria wa nyuma. Vioo ni sealed ambapo hizi chinese zina dirisha za kufunguka zenye kelele gari ikiwa mwendo.Ina zidiwa adi na tahmed
Ally's yeye anawakamata watu kwa kigezo cha seat configuration ya 2*1, toilet. Chinese bus zilizo Tanzania zote sio full luxury zimetofautiana facelift tu, engines ni zilezile weichai,dongfeng na yuchai cummins