Mtaqlamu
unakosea sana unapolinganisha mazingira ya biashara ya aviation Ulaya na africa , na hili ni tatuzo letu, Tan road inanperate kwa kutumia sheria za uingereza yani ni copy and paste , Tra nao sheria ni za copy and paste vile vile .
Uiishakua na attitude kama hii hakuna biashara inaweza survive , ndio maana biashara nyingi nyingi haziwezi kuishi Africa .Lcc ni mojawapo
Lcc zilianzia ulaya na makampuni mengi pia yalikufa pia ila walitafuta njia ku adopt , ndi hiyo unaona Ryan air anadunda hadi leo. Sababu mazingira yanawa favour .
Lcc inagitaji cash flow kubwa , ukishakuwa na cash flow kubwa kwa mazingira yetu tayari umealika Tra, hapo survival yako inategemea kudura za Mungu, na rushwa n.k maana hakuna biashara inatoboa kwenye chujio la kodi kirahisi, ShopRite na Game wamefunga biashara katika mazingira kodi ,na hizi ni stores kubwa hazIkuwa na upinzani hapa kwetu, Fastjet alikua na mazingira magumu ya kodi , expesive swissport charges na serikali iliponunua ndege zake ikaanza figisu, ilikuwa lqzima ife.