Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
In this context, how?Cheap is expensive
Msaidizi wa shetani ni shetani.Hapana mkuu, huyu pamoja na mapungufu yake lakini yuko poa kuliko yule shetani, japo ni maoni yangu na siyo lazima kila mtu aone hivyo
Figure out.In this context, how?
Hao jamaa walipigwa vita balaa aisee na mimi nilijua tuu hawawezi kudumu wapo wana route za JHb to Livingstone mabwenyenye kiboko wameipiga vita harafu wameitafutia route yao isiyo na Upinzani pana kipindi kushuka Oliver Tambo walikua wanafanyiwa figisu balaa mara gharama zao walizolipia hazionekani mnabaki kuchelewa kutoka Kaburu mafia sana ile route hataki upinzani kabisa hata ile ya kukamatisha ndege yetu na Mkulima ni umafia wa hiyo Route ina wateja wengi mno...Leo nikuwa naangalia emails za fast jet , kuna itinerary ya tsh 236,000 , dar jo burg.
fasjet nilikua anawakubali sana sema mbinu zao zilikua poa sana ndege moja ya wakati mmoja kila mtu anapanda kwa bei yake kadri utakvyowai kukata ndio kadri unapata bei ndogo kulikua na bei ya 38000 mpaka laki tatu ndege iyo iyoLeo nikuwa naangalia emails za fast jet , kuna itinerary ya tsh 236,000 , dar jo burg.
Kivipi mkuu sijakuelewa maana wiki nne zilizopita nimeenda Jhb mpaka Durban kwa rand 800 nadhani sawa na Tsh 112,000 na Tiketi ya Kuja Tanzania na Kurudi SA Kenya Airways kwa USD 300...pana muda bei ya ndege kwenda Cape Town kutokea JHB inakua chini kuliko Bus na bado bus zinajaa tuu...jhb ndo wapi
Season Gani inapandaFast jet nilikata tiket ya kwenda na kurudi SA kwa Tsh 360,000 gawanya ujue ticketi moja ilikua Tsh ngapi usibishe kama vitu huvijui tulikua tunakata tiket moja kuja Daslm kwa rand 1600 inategemena na season maana nazo zinashuka na kupanda kutokana na season...
Jina la basi naomba tafwazari, nifanye safari mokoKuna Basi luxury Lina chaji 120, 000 Mza Dar.
Utalii high season ni kuanzia miezi ya May mpaka July ingawaje huko SA ni low kipindi cha baridi kali watu hawasafiri kwa hiyo kila Nchi imetofautiana na high season kinachofanyika ni mambo ya sikukuu/rikizo yanaongeza bei pia...Season Gani inapanda
Mkuu hio ni one off. Ndege siku hio ina kazi Mwanza wakaona isiende tupu ndio wametoa hio offer.Hongera kupunguza gharama za usafiri, last time nimetoka Dsm - Mwanza kwa Atcl nauli ilikuwa 427,370.45. Kwa gharama hizo ina maana kuna punguzo la zaidi ya shilingi 300,000.
Changamoto ya Ndege hizi za Auric nadhani ni udogo, wakati niliposafiri nazo kutoka Dsm kwenda Arusha tulipofika juu usawa wa Mlima Kilimanjaro nilitamani kuzimia, yaani was like kama ndege inataka kuangua kwa kuzidiwa na kasi ya upepo.
Kama mtaweza mngeongeza route za Dsm - Mbeya - Dsm na Dsm- Dom - Dsm
By the way Hongereni sana kutusaidia wasafiri 👏👏👏
Hongera kupunguza gharama za usafiri, last time nimetoka Dsm - Mwanza kwa Atcl nauli ilikuwa 427,370.45. Kwa gharama hizo ina maana kuna punguzo la zaidi ya shilingi 300,000.
Changamoto ya Ndege hizi za Auric nadhani ni udogo, wakati niliposafiri nazo kutoka Dsm kwenda Arusha tulipofika juu usawa wa Mlima Kilimanjaro nilitamani kuzimia, yaani was like kama ndege inataka kuangua kwa kuzidiwa na kasi ya upepo.
Kama mtaweza mngeongeza route za Dsm - Mbeya - Dsm na Dsm- Dom - Dsm
By the way Hongereni sana kutusaidia wasafiri [emoji122][emoji122][emoji122]
ROstam anajitambukisha sasa.Hii ni endelevu au mnawaonjesha wasukuma uhondo waliokuwa wameuzoea wakati wa fast jet?.
View attachment 2547727
Mkuu hii si kampuni ya Rostam inaanza kazi rasmi au?Mkuu hio ni one off. Ndege siku hio ina kazi Mwanza wakaona isiende tupu ndio wametoa hio offer.
Air Tanzania tukafugie kuku au?Safi sana makampuni yaongezeke ili ushindani uwepo
Rostam ataguswa na nani?soon utashangaa wanafungiwa kama fast jet ATCLL itawaletea figisu
Hawa bado wako kienyeji sana.Cheap is expensive