Hujasafiri mkuu!!
Sijaona basi yoyote ya kichina ambazo ni luxury .mnadanganywa , nenda hapo Zambia utakuja kuyapinga haya maneno yako hapa..
Luxury kwanza gar inakuwa Auto gearshift, wala huzisikii, engine nyuma mnasafiri kimya kimya , choo ndani , tena kwa wenzetu miaka hii ni choo cha haja zote, seat , inclination kubwa yani unalala na abiria wa nyuma yako halalamiki kuguswa na seat ,
Hakuna basi ya mchina yenye full air suspension , wala autobox,
Mfano wa luxury' hizi basi ni za abiria 35 tu kwa urefu huo, vioo ni sealed , hakuna kununua mahindi!!