johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Collect = CorrectUhondo mkuu, sometimes collect direct in yo brain tu!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Collect = CorrectUhondo mkuu, sometimes collect direct in yo brain tu!.
Acha uongo sio kwa Africa! Nchi gani Africa imefanikiwa kuweka bei ya chini?. Suala liko kwenye mazingira ya biashara hasa kutokuwa na uwezo wa uzalishaji wa vipuri na huduma za ndege na pia kodi zisizo rafiki na udogo wa soko kutokana na umasikini.Ndege wakiondoa ukiritimba sio ghari kivile na abiria wa Mwanza,Mbeya,Dom, Arusha na Zanzibar wapo wengi sana ni vile wameweka password inaonekana ni usafiri wa anasa...
Algeria. Tiketi za ndani bei ni fixed ukate leo kesho au mwaka janaAcha uongo sio kwa Africa! Nchi gani Africa imefanikiwa kuweka bei ya chini?. Suala liko kwenye mazingira ya biashara hasa kutokuwa na uwezo wa uzalishaji wa vipuri na huduma za ndege na pia kodi zisizo rafiki na udogo wa soko kutokana na umasikini.
Ingia kwenye website yao, kila kitu kitakuwa hapo ili na wewe uelete mrejesho siyo utafuniwe kila kitu mkuu.
Allys StarKuna Basi luxury Lina chaji 120, 000 Mza Dar.
Sasa ilikua nini mbaya ungeweka kwa kiswahili au ndio mambo ya yes you know 😂😂😂😂 ina magufuli voiceNilichoandika ndicho correct mkuu na siyo collect, nimemaanisha weka pamoja wala siyo 'sahihi'
Kwa hiyo wanamfumo tofauti na soko lote la usafiri wa anga. Pili nchi kama hiyo utakuta mambo niliyosema Serikalini inatoa ruzuku na hakuna msululu wa kodi. Mafuta karibu na bureAlgeria. Tiketi za ndani bei ni fixed ukate leo kesho au mwaka jana
Ally's StarNaomba Jina
Hujasafiri mkuu!!Gari za Ally's VVIP ni nzuri sana mkuu.
Upo sahihi kabisaaAlly's anawapiga sana huwezi mlipisha abiria 120k kwa Bus Coach, hiyo nauli ilitakiwa ichajiwe kwa Sleep Line Bus ambazo ni full luxury. Hata watu wa Latra hizo nauli wamepitisha kwa kufumba macho
Bus za ukweli Sana hiziHujasafiri mkuu!!
Sijaona basi yoyote ya kichina ambazo ni luxury .mnadanganywa , nenda hapo Zambia utakuja kuyapinga haya maneno yako hapa..
Luxury kwanza gar inakuwa Auto gearshift, wala huzisikii, engine nyuma mnasafiri kimya kimya , choo ndani , tena kwa wenzetu miaka hii ni choo cha haja zote, seat , inclination kubwa yani unalala na abiria wa nyuma yako halalamiki kuguswa na seat ,
Hakuna basi ya mchina yenye full air suspension , wala autobox,
Mfano wa luxury' hizi basi ni za abiria 35 tu kwa urefu huo, vioo ni sealed , hakuna kununua mahindi!!
Kila siku au n safari ya siku moja?????Nimeingia baada ya kuuliza hapa naona ni dar to mwanza basi
Sasa sijui zinarudi tupu dar
Gharama kubwa za uendeshaji wa ndege, standard kimataifa, ni mafuta 25 - 40%, matengenezo ,(maintenance) 15 -25%, gharama za watumishi 15-20% na zilizobaki ni gharama ndogondogo. Nakutafutia gharama za Bombardier uone bei itakuaje na kama 120,000 itawawezesha kufanyakazi au ni bei ya kuingia kwenye soko na kwa muda tuNataman sana mtu ashushe hesabu gharama ya safari moja kutoka Dar to Mwanza inayotumiwa na ndege mpk nauli ziwe kubwa kiasi hicho cha wakina Atcl
Aisee pana kulula.com ilikua inatokea JHB mpaka Zanzibar kwa rand 2000 sijajua kama bado ipo sasa hivi tunapanda Kenya na Malawi kwa usd 300 kwenda na kurudi SA wana ubia na Ethiopia Airline muda mwingine unakata Malawi air mkifika Lilobgwe inauspicious ET mimi kila mwezi nasafiri na sijaanza jana nachoongea ndio nimekitumia...Acha uongo sio kwa Africa! Nchi gani Africa imefanikiwa kuweka bei ya chini?. Suala liko kwenye mazingira ya biashara hasa kutokuwa na uwezo wa uzalishaji wa vipuri na huduma za ndege na pia kodi zisizo rafiki na udogo wa soko kutokana na umasikini.
Si Bora nipande pipaKuna Basi luxury Lina chaji 120, 000 Mza Dar.