Usafiri wa ndege Dar es Salaam - Mwanza kwa Tsh 120,000, unaanza Machi 13, 2023

Ally's anawapiga sana huwezi mlipisha abiria 120k kwa Bus Coach, hiyo nauli ilitakiwa ichajiwe kwa Sleep Line Bus ambazo ni full luxury. Hata watu wa Latra hizo nauli wamepitisha kwa kufumba macho
Latra wanakariri na sidhani kama wanajua maana ya luxury buses, bahati mbaya hata sisi abiria hatujui
Luxury bus lazima iwe full air suspension,full air conditioned, choo , engine nyuma for quiet cabin and at least 45degree seat inclination, .ukiwa na configuration hii seat kwa basi zima haziwezi kuzidi 40 ,
Mchijna akiweka aircon tu, anaibatiza basi luxury
 
Upo sahihi kabisa,

Scandinavia aliwahi kuwa na luxury bus ilikuwa na route ya Ars, Nrb na Kmpl kama sikosei, since then sijaona nyingine
 
Latra wanakariri na sidhani kama wanajua maana ya luxury buses, bahati mbaya hata sisi abiria hatujui
Luxury bus lazima iwe full air suspension,full air conditioned, choo , engine nyuma for quiet cabin and at least 45degree seat inclination, .ukiwa na configuration hii seat kwa basi zima haziwezi kuzidi 40 ,
Mchijna akiweka aircon tu, anaibatiza basi luxury
Gari za Ally's VVIP ni nzuri sana mkuu.
 
Back
Top Bottom