Usafiri wa ndege Dar es Salaam - Mwanza kwa Tsh 120,000, unaanza Machi 13, 2023

Usafiri wa ndege Dar es Salaam - Mwanza kwa Tsh 120,000, unaanza Machi 13, 2023

Ndege wakiondoa ukiritimba sio ghari kivile na abiria wa Mwanza,Mbeya,Dom, Arusha na Zanzibar wapo wengi sana ni vile wameweka password inaonekana ni usafiri wa anasa...
Usafiri wa ndege mambo ya ukaguzi yakipuuzwa ili kupunguza gharama basi inabidi tuwe na akina majaliwa wengi, bila hivyo ndege zitakuwa kama bodaboba na nchi nyingine watupiga marufuku
 
Usafiri wa ndege mambo ya ukaguzi yakipuuzwa ili kupunguza gharama basi inabidi tuwe na akina majaliwa wengi, bila hivyo ndege zitakuwa kama bodaboba na nchi nyingine watupiga marufuku
Kivipi mkuu sijakuelewa maana wiki nne zilizopita nimeenda Jhb mpaka Durban kwa rand 800 nadhani sawa na Tsh 112,000 na Tiketi ya Kuja Tanzania na Kurudi SA Kenya Airways kwa USD 300...pana muda bei ya ndege kwenda Cape Town kutokea JHB inakua chini kuliko Bus na bado bus zinajaa tuu...
 
Usafiri wa ndege mambo ya ukaguzi yakipuuzwa ili kupunguza gharama basi inabidi tuwe na akina majaliwa wengi, bila hivyo ndege zitakuwa kama bodaboba na nchi nyingine watupiga marufuku
Sijasema ukaguzi nimezungumzia gharama za uwanja kwa abiria Tanzania ni kubwa sana ndio maana wageni wengi wanashukia Nairobi wanakuja Arusha kwa Coaster wakikwepa gharama kubwa ya Uwanja hapo KIA harafu tunasema tunashindana nao Utalii wakati wageni wengi wanashukia kwao harafu sisi hatutengenezi mazingira rafiki na tuna vivitio vingi kushinda wao tumejiwekea Pin code zisizo na maana punguzeni gharama ili mate wageni wengi mate kodi zao kupitia huduma na mambo mengine...
 
Back
Top Bottom