Usafiri wa ndege Dar es Salaam - Mwanza kwa Tsh 120,000, unaanza Machi 13, 2023

Usafiri wa ndege Dar es Salaam - Mwanza kwa Tsh 120,000, unaanza Machi 13, 2023

Kivipi mkuu sijakuelewa maana wiki nne zilizopita nimeenda Jhb mpaka Durban kwa rand 800 nadhani sawa na Tsh 112,000 na Tiketi ya Kuja Tanzania na Kurudi SA Kenya Airways kwa USD 300...pana muda bei ya ndege kwenda Cape Town kutokea JHB inakua chini kuliko Bus na bado bus zinajaa tuu...
Mzee wangu Dar johb Go and return inaendea ngapi nmechoka zereu
 
Mzee wangu Dar johb Go and return inaendea ngapi nmechoka zereu
Mkuu sio SA tuu Nchi nyingi najua mashirika yao ya gharama nafuu kwa season wengi Tanzania wanajua ukipanda ndege mmelipa Nauli sawa kumbe kila mtu kalipa tofauti kutokana na alivyonunua na siku aliyokata Ticket hata wote mkipanda Economy Class...
 
Nimaanisha bei ikipunguzwa taratibu za kiusalama zibaki pale pale. Punguzo liathiri faida tu ya kampuni, ndiyo maana yangu mkuu
Mkuu swala la usalama lipo chini ya Mashirika ya kimataifa tusipokizi vigezo tunafungiwa hivyo viwanja kila mwezi wanavikagua na watu wanatumwa kabisa na hizo ndege nyingi zinatoa taarifa kama vile wanaolipa madeni ndio maana kukiwa hakuna taarifa sahihi shirika linaamua kuweka ndege chini bila hivyo wangekua wanapaa kila siku hata kama ndege ina matatizo...ni sheria za Anga ndio zinafanya wasimamishe kusafirisha abiria kama hawajakidhi vigezo mpaka kwa marubani wao..
 
Fast jet nilikata tiket ya kwenda na kurudi SA kwa Tsh 360,000 gawanya ujue ticketi moja ilikua Tsh ngapi usibishe kama vitu huvijui tulikua tunakata tiket moja kuja Daslm kwa rand 1600 inategemena na season maana nazo zinashuka na kupanda kutokana na season...

Mweleze South Africa, Algeria, Nigeria, hata Congo hapo usafiri wa ndege ni kawaida kabisa wala sio ajabu, shida Ujamaa uliathiri akili za watanzania na viongozi kwa ujumla yaani kutengeneza mazingira rahisi ya huduma bora ni anasa, angalia hata kodi za magari ndio utajua shida iliyopo,
 
Back
Top Bottom