Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Tahmeed seat zake zina nafasi kubwa ya mguuni na ukilaza zina lala nafasi kubwa bila kuleta karaha kwa abiria wa nyuma. Vioo ni sealed ambapo hizi chinese zina dirisha za kufunguka zenye kelele gari ikiwa mwendo.Ina zidiwa adi na tahmed
Sasa ww gari ya injini nyuma uipeleke dar to mwz!! Hizo gari za injini kwa hali ya hewa ya bongo zitakufa yu.Tahmeed seat zake zina nafasi kubwa ya mguuni na ukilaza zina lala nafasi kubwa bila kuleta karaha kwa abiria wa nyuma. Vioo ni sealed ambapo hizi chinese zina dirisha za kufunguka zenye kelele gari ikiwa mwendo.
Ally's yeye anawakamata watu kwa kigezo cha seat configuration ya 2*1, toilet. Chinese bus zilizo Tanzania zote sio full luxury zimetofautiana facelift tu, engines ni zilezile weichai,dongfeng na yuchai cummins
Hii ni Semi Luxury, hizi mambo za VVIP ziwe kwenye Sleep Liner Bus na Mainliner Bus. Hizi zetu ni Bus Coach hazina pumziko kubwa sababu zinatumia spring badala ya Air Ride Suspension.Hii hapa gari dar mwanza ni 120,000 na zinapishana na zinajaa kila sikuView attachment 2552546
Ishu sio Engine nyuma Luxury ya Gari ni space ya seat na inclination ya seat. Tahmeed zina engine mbele na ndani seat zina nafasi.Sasa ww gari ya injini nyuma uipeleke dar to mwz!! Hizo gari za injini kwa hali ya hewa ya bongo zitakufa yu.
Hizo gari unazopost usifikiri hazijwai kuwepo bongo zilikuwepo zilikua zinaitwa kureed hunters yali fail dar to mwz, yakaanza dar to dom yakafail.
Nauli ya allys ilikua kubwa kwa hizo unazona za kisasa lkn allys zilikua zinajaa na anatoa mpka gari 6 zinazotoka dar tu bado zinazotoka huko mkoani.
Huyo kureed hunters alishindwa vibaya na hayo mabox ya injini nyuma unayoyasifu.
NB, nimekujibu hivi kwasababu umesema hizo dragon Zambia hakuna mtu atakae pandaView attachment 2552835View attachment 2552836View attachment 2552837
Ishu ipi ndugu yako unayosema?NOD ishu unayozungumzia sio kwa Tanzania ambayo haina magari wala viwanda ila kodi ya magari ipo juu mazao yanasafirishwa kwa gharama kubwa kwa sababu hizo Truck kuingia Tanzania kodi ipo juu sana,Kodi ya kila abiria kwenye viwanja vyetu ipo juu inafika Wageni wengi wanashuka Nairobi badala ya KIA ili kupanda Mlima Kilimanjaro hii Nchi waliwahi weka VAT kwenye Transit goods mpaka huko wakawa wanatushangaa yaani hamjui maana ya VAT mpaka mnataka kodi kwa bidhaa zinazopita wakati hapa mnaweka deposit mkivuka mpaka wetu mnarudishiwa pesa...
Nimekusoma mkuuSijalinganisha ila katika maisha yangu sijawahi fikiri kuwa itatokea nauli ya ndege kuwa chini harafu bus ipo juu kwa kipindi fulani harafu na bus zinajaza...
ATC hawawezi kukubaliHii ni endelevu au mnawaonjesha wasukuma uhondo waliokuwa wameuzoea wakati wa fast jet?.
View attachment 2547727
Mkuu hii nchi unaangalia penye fulsa plus ujinga ukiona mwanya shirikiana na viongozi wakupe mkono anza kupiga pesa kama anavyofanya huyo Ally's.Ally's anawapiga sana huwezi mlipisha abiria 120k kwa Bus Coach, hiyo nauli ilitakiwa ichajiwe kwa Sleep Line Bus ambazo ni full luxury. Hata watu wa Latra hizo nauli wamepitisha kwa kufumba macho
Hiyo ni market entry strategy au mkakati wa kuingia kwenye soko siyo bei ya kudumu. Mashirika yote hufanya hivyo kama unaingia kwenye route/destination mpya yenye ushindani. Bei itabadilika ila mkakati wa kubaki na abiria lazima wawe nao sio lazima bei. Huu ni mtazamo wangu.Niliandika hii mada nikiweka na swali but hadi leo hamna jibu as hiyo nauli ya kudumu au ?
Mkuu yanajaa mapema,ukataji wake angalau uwe kuanzia siku 3-5 kabla ya kusafiri.Ally's anawapiga sana huwezi mlipisha abiria 120k kwa Bus Coach, hiyo nauli ilitakiwa ichajiwe kwa Sleep Line Bus ambazo ni full luxury. Hata watu wa Latra hizo nauli wamepitisha kwa kufumba macho
Wametumia fursa ya Consumer Ignorance kutokujua specifications za luxury bus. Juzi nimeona kwenye habari umoja wa wamiliki mabasi wameomba kupunguziwa kodi za uingizaji mabasi.Mkuu yanajaa mapema,ukataji wake angalau uwe kuanzia siku 3-5 kabla ya kusafiri.
Huduma ni superb.
Ukiwaambia watembee waone, wanadhani kupanda Ally's ndiko kutembea, wakiona video za akina Diamond ndiyo wanajua luxury, hawajui kabisa haya makopo ya kichina hayana hata chembe ya u luxuryHakuna basi ya mchina yenye full air suspension , wala autobox,
Mfano wa luxury' hizi basi ni za abiria 35 tu kwa urefu huo, vioo ni sealed , hakuna kununua mahindi!!
Muulize pia kama ameona hizo Allyz zikiwa hiviSijaona basi yoyote ya kichina ambazo ni luxury .mnadanganywa
Hiyo ndege sidhani kama inapiga kazi. Juzi nimeenda Dar kutokea Mwanza nauli nilipigwa 478800 TZS kwa Air TanzaniaBado bei ya ndege ni hiyo?
Round or one way?Hiyo ndege sidhani kama inapiga kazi. Juzi nimeenda Dar kutokea Mwanza nauli nilipigwa 478800 TZS kwa Air Tanzania
One way mzeeRound or one way?