Wahabesh akili zao ni nzuri.jamani mimi huwa nakiuliza hivi iweje Tanzania kweli tunakosa shirika la ndege lenye ndege za kuruka sehemu ambazo kimsingi ni potential kwa biashara kama DUBAI, JOHANNESBURG, LAGOS/ACCRA ENTEBBE, LUSAKA hata LONDON etc?
mbona hawa wahabeshi/ET wameweza pamoja na kuwa sisi tuna kila kitu? tumilogwa? ukipita ADDIS ABABA ukiona jinsi hawa wahabeshi walivyo na ndege nyingi zinazoruka duniani kote ndo utashangaa!!
jamani mimi huwa nakiuliza hivi iweje Tanzania kweli tunakosa shirika la ndege lenye ndege za kuruka sehemu ambazo kimsingi ni potential kwa biashara kama DUBAI, JOHANNESBURG, LAGOS/ACCRA ENTEBBE, LUSAKA hata LONDON etc?
mbona hawa wahabeshi/ET wameweza pamoja na kuwa sisi tuna kila kitu? tumilogwa? ukipita ADDIS ABABA ukiona jinsi hawa wahabeshi walivyo na ndege nyingi zinazoruka duniani kote ndo utashangaa!!
Jiulizeni ni kwa nini rubani Wengi wa ET Huzamia mataifa ya kigeni?....Kama Yule et pilot aliye seek asylum, in Sweden by abandoning the plane kule.....udikteta wa serikali ya uhAbeshi......hawalipi pilots ukitishia unawawa.....pia serikali inzamisha posho za kufa mtu year in year out kwenye airline.....na kupelekea kukosekana kwa huduma muhimu....
wengi wao huzamia nje ya nchi Kama wahamiaji haramu ......soviet socialist policies......siku nchi ile itakuwa ya kidemokrasia ya kweli.....wananchi hawatokubali kamwe kuibeba shirika lenye hasara........at the expense of social services.......jiulizeni pia kwa nini hawachapishi financial reports openly Kama mashirika mengine......Ili tuweze kuona kiwango cha faida au hasara waliopata?......itajifia tu kiulaini.......wee wacha tu demokrasia Ikite mixizi
Kipi bora kusaidia shirika la ndege liendelee au kulipana posho kwa vitu wa kijinga (SITTING ALLOWANCE)? kwa taarifa tu Ethiopia pamoja na kutokuwa na resources nyingi kama Tanzania wao wameamua kuwekeza kwenye service industries (Airline,
Sasa wamejikita kwenye MEDICAL TOURISM, na wanajenga bwawa la kuzalisha umeme) bora UDIKTETA wao kuliko DEMOKRASIA yenu isiyowapa chochote.
jamani mimi huwa nakiuliza hivi iweje Tanzania kweli tunakosa shirika la ndege lenye ndege za kuruka sehemu ambazo kimsingi ni potential kwa biashara kama DUBAI, JOHANNESBURG, LAGOS/ACCRA ENTEBBE, LUSAKA hata LONDON etc?
mbona hawa wahabeshi/ET wameweza pamoja na kuwa sisi tuna kila kitu? tumilogwa? ukipita ADDIS ABABA ukiona jinsi hawa wahabeshi walivyo na ndege nyingi zinazoruka duniani kote ndo utashangaa!!
Tz in laana. Viongozi wa ccm kazi yao kutengeneza makampuni feki na kuliibia taifa na kuifisidi nchi kwa kugawana rasilimali. Hakuna kiongozi wa ccm anayefikiria miaka 20 ijayo wote wanafikiria dili binafsi za fasta. Sasa hivi Tuko hivi imagine tusingekuwa na rais ambaye ni Dr na profess!!!!!
Watanzania tunashindwa kwa kuwa ni wezi na wazembe. Mtanzania kishaweka akilini mwake kuwa kazi ni "deal" hususan kwenye mashirika ya umma na wizara na idara za Serikali.
Vitafanywa vikao visivyo kuwepo, yatafanywa makongamano yasiyokuwepo, zinafanywa safari zisizohitajika, vitanunuliwa vitu si kwa bei yake, mradi tu waibe.
Nani asiyeyajuwa hayo?
Halafu bado tunauliza kwanini wenzetu wanaweza sisi tunashindwa?