and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Jamani mimi huwa nakiuliza hivi iweje Tanzania kweli tunakosa shirika la ndege lenye ndege za kuruka sehemu ambazo kimsingi ni potential kwa biashara kama DUBAI, JOHANNESBURG, LAGOS/ACCRA ENTEBBE, LUSAKA hata LONDON etc?
Mbona hawa wahabeshi/ET wameweza pamoja na kuwa sisi tuna kila kitu? tumilogwa? ukipita ADDIS ABABA ukiona jinsi hawa wahabeshi walivyo na ndege nyingi zinazoruka duniani kote ndo utashangaa!!
Mbona hawa wahabeshi/ET wameweza pamoja na kuwa sisi tuna kila kitu? tumilogwa? ukipita ADDIS ABABA ukiona jinsi hawa wahabeshi walivyo na ndege nyingi zinazoruka duniani kote ndo utashangaa!!