Usafiri wa ndege TZ: Wahabeshi/Ethiopian Airlines wamewezaje, tukashindwa sisi?

Usafiri wa ndege TZ: Wahabeshi/Ethiopian Airlines wamewezaje, tukashindwa sisi?

Jamani mimi huwa nakiuliza hivi iweje Tanzania kweli tunakosa shirika la ndege lenye ndege za kuruka sehemu ambazo kimsingi ni potential kwa biashara kama DUBAI, JOHANNESBURG, LAGOS/ACCRA ENTEBBE, LUSAKA hata LONDON etc?

Mbona hawa wahabeshi/ET wameweza pamoja na kuwa sisi tuna kila kitu? tumilogwa? ukipita ADDIS ABABA ukiona jinsi hawa wahabeshi walivyo na ndege nyingi zinazoruka duniani kote ndo utashangaa!!
Mzee alivokua ananunua Ndege mkaanza kusema oooh, Ndege za nini badala ya kujenga madarasa... Bado mkaja na ripoti uchwara za CAG, kulipaka tope ATCL mkidhani mnamkomoa marehemu kumbe ndio mnaangamiza taifa.

Sisi tumechagua siasa uchwara (siasa za Bora mkono uende kinywani) tuendelee tu kupambana na Hali zetu,
 
Kipi bora kusaidia shirika la ndege liendelee au kulipana posho kwa vitu wa kijinga (SITTING ALLOWANCE)? kwa taarifa tu Ethiopia pamoja na kutokuwa na resources nyingi kama Tanzania wao wameamua kuwekeza kwenye service industries (Airline,

Sasa wamejikita kwenye MEDICAL TOURISM, na wanajenga bwawa la kuzalisha umeme) bora UDIKTETA wao kuliko DEMOKRASIA yenu isiyowapa chochote.
Demokrasia uchwara,
 
Kila mmoja anajiuliza hivi nini TZ inachojivunia zaidi ya hii JF, tukiwemo JF tunajua fika nini kilichomo ndani ya akili zenu, wenyewe kwa wenyewe maadui, sasa huyo customer tutam serve vipi?
Tunashindwa nn?
 
Back
Top Bottom