maghambo619
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,537
- 1,360
Mzee alivokua ananunua Ndege mkaanza kusema oooh, Ndege za nini badala ya kujenga madarasa... Bado mkaja na ripoti uchwara za CAG, kulipaka tope ATCL mkidhani mnamkomoa marehemu kumbe ndio mnaangamiza taifa.Jamani mimi huwa nakiuliza hivi iweje Tanzania kweli tunakosa shirika la ndege lenye ndege za kuruka sehemu ambazo kimsingi ni potential kwa biashara kama DUBAI, JOHANNESBURG, LAGOS/ACCRA ENTEBBE, LUSAKA hata LONDON etc?
Mbona hawa wahabeshi/ET wameweza pamoja na kuwa sisi tuna kila kitu? tumilogwa? ukipita ADDIS ABABA ukiona jinsi hawa wahabeshi walivyo na ndege nyingi zinazoruka duniani kote ndo utashangaa!!
Sisi tumechagua siasa uchwara (siasa za Bora mkono uende kinywani) tuendelee tu kupambana na Hali zetu,