Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 11,208
- 20,517
Hii nchi ni shida Kila nyanja tangu tupate uhuru Hadi Sasa ni ngumu kukuta huduma ya serikali ya uhakika na wananchi wakaifurahia.
Magufuli alifufua usafiri wa Treni kwenda kaskazini lakini ndani ya muda mfupi toka afariki Dunia usafiri umekufa kabisa Hadi Leo ha, hakuna usafiri wa Treni ya Abiria Wala ya mizigo Inayotoka Dar ,Tanga kwenda Arusha.
Hii nchi ni huduma Gani haswa ya serikali mwananchi anaifurahia ambayo haina bugtha?