Kwenu Tz ni utawala wa mabavu kutoka kwa Magufuli ...he's the law na akisema wasichana wenye mimba hawaendi shule tena hio ndio inakujua kua sheria.Umesahau vile waandishi habari hawana uhuru ku-report takwimu halisi na vile Tundu Lissu wa chama cha upinzani alipigwa marisasi for standing up against Magufuli dictatorship?Kenya ni "Jungle", hakuna utawala wa sheria, very hopeless country. Purely failed state.
View attachment 1210105View attachment 1210106View attachment 1210107View attachment 1210108View attachment 1210109View attachment 1210111View attachment 1210110
Hii industry imewapa vijana wengi ajira. Kwa mfano sanaa ya kuchora, wengine shughuli za sound usisahau utingo na dereva wake na washika dau kwenye SACCOS! View attachment 1210111View attachment 1210110
View attachment 1210104
Duh! Kweli una dharau sana nduguHalafu hiyo migari yao huwa ina sura mbaya kishenzi. utadhani mdudu fulani. Dah haya majitu sijui yatabadilika lini
Yep, they look 'ugly', mein, immense,beasty, intimidating, brave, loud and very present.They are BULLS..NIZAKIUME.love them.No Nairobi without themThose things are hugly af. Even if you use mzungu pictures to sanitise, it won't change the fact that they are thug oriented transport.
Umenikumbusha kitabu cha This time tomorrow..Hiki kitabu kime akisi maisha ya Kenya mpaka leoI really don't know but I think kibeLa is the best, where all Kenyans live since the rest of the land in KE is owned by MZUNGU and KENYATTA
These are the most uncivilized humans on Earth
View attachment 1210105View attachment 1210106View attachment 1210107View attachment 1210108View attachment 1210109View attachment 1210111View attachment 1210110
Hii industry imewapa vijana wengi ajira. Kwa mfano sanaa ya kuchora, wengine shughuli za sound usisahau utingo na dereva wake na washika dau kwenye SACCOS! View attachment 1210111View attachment 1210110
View attachment 1210104
Daaah tttttt shida hiii!!!!!!These are the most uncivilized humans on Earth
Acha ukichaa kujitoa akili.Hawakukosea waliposema kwamba nyaoni haoni kundule. Watz mnadhani hatujui kuhusu zile daladala zenu za kubebea mifugo.Hata kwenye mabasi ya BRT nyani ni wale wale.
Acha ujuaji wa peni mbili, hiyo video ni ya zamani na sijaitizama kwa mara ya kwanza kwenye uzi huu. Wewe hata hujaelewa kwamba hizo ni vurugu za wakati wa mgomo na maandamano ya madereva na wamiliki wa matatu. Unamaanisha kwamba ni kawaida kugombania daladala na mabasi na kuabiri kwa mtindo huo wa mieleka? Hayo ni masaibu ya aina yake.Acha ukichaa kujitoa akili.
Hao wanagombania usafiri ila ninyi wakenya mnaleta vurugu kwa road mob.
Nimeamin ninyi mabundle ya kutizama vids hamuna.
Asa nikurekebishe.Acha ujuaji wa peni mbili, hiyo video ni ya zamani na sijaitizama kwa mara ya kwanza kwenye uzi huu. Wewe hata hujaelewa kwamba hizo ni vurugu za wakati wa mgomo na maandamano ya madereva na wamiliki wa matatu. Unamaanisha kwamba ni kawaida kugombania daladala na mabasi na kuabiri kwa mtindo huo wa mieleka? Hayo ni masaibu ya aina yake.
ukweli mchungu ambao nyangau wa kunyaland hawapendi kuusikia.I really don't know but I think kibeLa is the best, where all Kenyans live since the rest of the land in KE is owned by MZUNGU and KENYATTA
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama Kenyatta mwenyewe kaenda kujifunza kareti unategemea nini ? Kenya ni hatari sana