kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Piga lapa, Mbagala - Posta, watu wawe fiti kinoma!Kwa hyo una shauri serikali itukopeshe magari ya bei rahisi.
Kila raia aende kazini na gari lake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga lapa, Mbagala - Posta, watu wawe fiti kinoma!Kwa hyo una shauri serikali itukopeshe magari ya bei rahisi.
Kila raia aende kazini na gari lake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu washa sanuka kua Allah hana msaada wowote kama kivuli cha fimbo.Naona jana baadhi ya misikiti imeshaanza kufungwa. Wakichukua hatua kuepusha mikusanyiko.
Huu msikiti upo Posta karibu na Hindu mandal hospital.View attachment 1404591
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikujibu NI TAGSamahani, naomba kuuliza.
Zile mwendokasi zinapakia level siti pia?
Wote wameambiwa wapakie level seatSamahani, naomba kuuliza.
Zile mwendokasi zinapakia level siti pia?
Hiyo itawafaa ninyi wenye mapesa mengi ya kulipa nauli. Wale mnaoweza kupanda daladala Mapipa na kushuka Usalama.Huu utaratibu usiishe uwe endelevu hata corona ikiisha. Tutakuwa kama mbele vile.
Aisee! Ni nini hiki umeandika!?Yet lanzini in Lazio za serikali tu, kama unaenda Kenya kazi zako, au kazi binafsi hanna shida.
Amekosa kuelewa his kazi zinategemeana, Luna ofili Huawei separates Walter kuwahudumia kama Gandhi ya ofili zimedungwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa kwenye profile picture yako ni mgonjwa wa cancer ya mdomo. Unamchoresha bure tu.Kuhusu Mwendokasi trafiki tuliowauliza walitujibu zimeruhusiwa kwa kuwa eti wanapewa sanitizer na wanakaguliwa kabla ya kupanda.
Sent using Jamii Forums mobile app