AbaMukulu
JF-Expert Member
- Jan 1, 2018
- 2,053
- 3,586
Mkuu watu wanageuza na gari kabisa. Halafu huyo ni moja kwa moja hadi kkoo. Vituo vya kati hapo ni shida sana kupata usafiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu watu wanageuza na gari kabisa. Halafu huyo ni moja kwa moja hadi kkoo. Vituo vya kati hapo ni shida sana kupata usafiri.
Viongozi wa shithole countries..yeye anatembea na msafara wenzie anawaambia watembee kwa miguu...Museveni yeye kasema watu waende kazini kwa miguu kabisa..hali ni mbaya haya maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi uko mkuu mbinguni au maana sisi mbagala kawa hakuna level seat.Kumbe inawezekana kuwa level siti yaani mpaka raha hakuna kubanana wala joto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unashauri je? Acha kulalamika tu shauri mkuu!!kunguni wa ulaya, Hayo yote kupoteza mda serikali bado ijafanya kazi yake ya kuzuia kuenea kwa gonjwa hi la covid 19, distancing inayo hitajika ni mita moja kutoka mtu kwa mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si afadhali apate hizo kidogo ikiwa lockdown kabisa atapata ngapi?Daladala kesho haziamshi maana leo hazitafikisha hesabu. Gari ya Gerezani Kawe level seat itapata 8000 kwa trip atahitaji trip 10 kupata hela ya Boss. Hapo mafuta hajaweka. Hajala. Hajalipa ya brush. Hawajagawana
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali we umenielewa..mfano mwingine muda huu nimetoka manispaa pale ofisi ya DMO ni heka heka tupu pale.
Heka heka ya nini mkuu?Afadhali we umenielewa..mfano mwingine muda huu nimetoka manispaa pale ofisi ya DMO ni heka heka tupu pale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi uko mkuu mbinguni au maana sisi mbagala kawa hakuna level seat.
Si afadhali apate hizo kidogo ikiwa lockdown kabisa atapata ngapi?
Acha porojoWapi uko mkuu mbinguni au maana sisi mbagala kawa hakuna level seat.
Heka heka ya nini mkuu?