Usagaji ni hatari zaidi ya michepuko


Halafu wanawivu kinoma,kwa ile soo nilioiona club yaani mdada analia machozi hadharani hataki yule msagaji ashikwe either na boy,au girl,wanadai hua akimkuta uyo msagaji yuko na mdada mwingine huo ugonvi hauwez kuzuiliwa kirahisi,pata picha mpaka mdada wa watu hua anamlipa dau,

nilishangaa sana mkuu
 
Haya mambo yanatokea huko dar es salaam au?
 
kweli waliosema kuwa uyaone hawakukosea tuyaone aja maajabu mwanamke na mwanamke na men na men mwenzake. Pamoja na akili tulizopewa wanadamu lakin bado atuzitumii wanatushinda adi wanyama ambao hawana akili na bado awafanyi upuuzi kama huu
 
Haya mambo yanatokea huko dar es salaam au?

hapana mkuu,nimkoa flani ivi wenye muingiliano wa watu

sio mara ya kwanza,nakumbuka 2011 wakat niko tabora niliwai onyeshwa,

hii inamaanisha huu upuuzi umetapakaa sana hasa mijini,vyuoni,shule za girls nk
 
Me pia mwaka juzi nilioneshwa kasagaji huko Mbeya, kalikuwa ka mwanafunzi ka diploma mzumbe.
Dawa ya wasagaji ni kuwala 0712 na wao
 
Hizo skills zake ni zipi sasa na hana penis? Then wote ni jinsia moja wanafanana yani in short..sioni mmoja anamvutiaje mwingine. Aisee wanawake hawa jamani.duh
 
As long as we men, don't satisfy our women sexually they will find it somewhere else. Tunapenda sana kujisifia kuwa 'nilimnanii mpaka akashindwa kutembea'. Huo ni ubakaji! Learn the art of love making sio jinsi ya kupiga push-ups. Kwani partner wako ni gym? She's a person, with feelings and needs. Tuendelee tu na hizi push-ups zetu ila wakikutana wakaonja vile ambavyo hawajawahi kuonjeshwa basi tena. Explore your partner's body, ukaufahamu and know exactly what makes her tick! We endelea na push-ups tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…