- Thread starter
- #41
Usagaji umekua fashion siku hizi. Tena watu hata hawaogopi kusema hadharana wanasagana. Kuna dada mmoja anasagana. Mwanzoni alikua akisema anasagana nilikua nabisha sababu huwa siamini haraka vitu ambavyo huwa nahisi sio vya ukweli. Kuna siku alituma chat kwenye group mwanamke mwenzie anamlilia kabisa. Anasema hakuna mwanaume anamridhisha kama akiwa na huyo dada. Anaomba warudiane. Na akasema akijua kama ana mwanamke mwingine atakachomfanya huyo mwanamke dunia itajua. Kuanzia pale nikaamini watu ni kweli wanasagana. Ni kama kastyle flani pia ka watu kuonekana wajanja hivi.
Halafu wanawivu kinoma,kwa ile soo nilioiona club yaani mdada analia machozi hadharani hataki yule msagaji ashikwe either na boy,au girl,wanadai hua akimkuta uyo msagaji yuko na mdada mwingine huo ugonvi hauwez kuzuiliwa kirahisi,pata picha mpaka mdada wa watu hua anamlipa dau,
nilishangaa sana mkuu